mtego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Nina uhakika wa 100% katika huu Mtego wa Kiufundi wa Mama kuna 'Mazuzu' yatauingia Kichwa Kichwa na kukosa kote kote

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa wilaya na viongozi wengine katika serikali za mitaa kutoa taarifa mapema kama wana mpango wa kugombea ubunge. Msingi wa kauli ya Rais Samia ni kutaka nafasi zao zijazwe mapema na watu wenye sifa huku akiwaonya kutoshitukiza...
  2. jingalao

    Tanzania isijiingize kwenye mtego wa upigaji kupitia magonjwa ya milipuko!

    Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha. chondechonde tusiingie kwenye mtego huu. Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi...
  3. ngara23

    Rais Samia usikubali kunasa kwenye mtego wa TFF

    Rais Samia wewe ni Rais wetu sote. Mara ya kwanza ulitukwaza wanayanga ulivomaliza suala la Feitoto katika kutoa maagizo. Na ukijua maagizo yako kama Rais hakuna raia wa nchi hii anaweza kuyapinga, Kwa heshima yako wanayanga tulikubali kulimaliza suala hili mezani japo tulishinda kwenye sheria...
  4. M

    Bodi ya ligi mmeingia kwenye mtego mbaya sana,,kitendo cha kuahirisha mechi bila sababu za msingi na kikanuni kitawagharimu!

    Naona kabisa bodi ya ligi imetengeneza tatizo juu ya tatizo,,bodi ya ligi ilitakiwa isimamie Sheria na kanuni walizoziweka zinazoendesha ligi na sio busara! Kanuni ziko wazi kwa timu inayogomea mechi na kanuni ziko wazi kwa timu iliyozuiliwa kufanya mazoezi aikuwepo haja yoyote ya kutumia ata...
  5. Intelligent businessman

    Ewe jobless wakikuchokoza usipigane, huo ni mtego

    Uzi huu ni kwa ajili ya kuwapa mbinu vijana wa chama Cha ma jobless pro max. Ili waweza kujua na kuelewa namna bora ya kuishi na kuwa salama, ndani ya jamii yenye mchanganyiko wa watu mbali mbali. vijana nawapa onyo ukiwa jobless usi pende kupigana, maana kufanya hivyo ni kuweka maisha yako...
  6. Mganguzi

    Mwambieni tundu lissu siasa ni kumfarakanisha adui ili umnase kwenye mtego wako ,ccm ya sasa imeungana sana inahitajika mkakati wa kuwafarakanisha.

    Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
  7. Carlos The Jackal

    Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?.

    Kama Uchaguzi ni mbele huko, lakini tumeona na kusikia habari za utekaji, Upoteaji , Mauaji , matukio yanayoashiria kukosekana Kwa ustahimilivu na uvumilivu wa Kisiasa. Vipi miezi Kadhaa kuelekea uchaguzi ? Wakati ambao CDM mpya inarudi kua Ile ya 2010, sio kwamba Dola imeburuzwa na kuingia...
  8. Eli Cohen

    Kuna habari kuwa huko Geita watu wanaweka mtego wa fumanizi ili wajipatie pesa

    Nasikia ina watarget zaidi matajiri wa huko Geita, haswa hawa wa migodini. Unakuta mke wa mtu ni chombo anakubaliwa na tajiri mmoja wana plan kukutana lodge then anafumaniwa ghafla na mme wa mtu, so kinachofatia ni mme kuomba fidia ili asichukue hatua yoyote ambayo aliefumaniwa hatapenda...
  9. ngara23

    Waziri Bashungwa umenasa kwenye mtego

    Waziri wa mambo ya ndani, home boy kabisa, nilikutabiria utakuja kuwa Rais wa Tanzania Ulivoteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ilifanya kazi njema ya kutuliza uhalifu wa utekaji holela na wasiojulikana Leo Uhamiaji wapo wanakutia doa na upo kimya Wanagawa uraia ambao unatuacha gizani sisi...
  10. TheChoji

    Mtego wa kuoa/kuolewa na mtu wa dini yako unavyoweza kukucost maishani

    Kuna baadhi ya madhehebu ya dini yameweka msimamo kwamba muumini haruhusiwi kuoa/olewa na mtu wa dhehebu lingine. Binafsi nimeona watu wakipata matatizo yafuatayo kutokana na msimamo huo; 1. Baadhi ya madhehebu hayo unakuta vijana (hasa wanaume) ni wachache. Kwahiyo linapokuja suala la kuolewa...
  11. M

    Asante sana Ibenge kwa ushindi wa Yanga SC

    Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
  12. LIKUD

    Mtego Kwa Mchungaji Upo hapa

    Kichwa cha uzi kiwe " MTEGO KWA MCHUNGAJI MAGEMBE UPO HAPA" Moderator Siku moja Rapper Jadakiss aliwahi kumchana 50 live kwenye kipindi cha radio kilicho ongozwa na mwanamama Angie Martinez. Ilikuwa ni kipindi ambacho 50 na G.unit Yake walikuwa wana feud na The Lox ( Styles P, Jadakiss and...
  13. Surya

    Mrejesho: Asanteni Kwa Ushauri, Mtego ulikuwa kweli.

    Kiukweli ningefanya maamuzi ya kukurupuka, huwenda kwa sasa ningekua na adui moyoni ambaye kala vya kwangu na kukimbia.. https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-wa-mbinu-ya-kuluka-mtego.2287176/ Baada ya washauri kuniambia ni achane na huyo pasua kichwa hakupendi, basi nikaamua kufunga...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  15. B

    Pre GE2025 Mtego unaowakabili chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa 2025

    Hello! Natumai mu wazima! Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao binafsi. Hilo ni kosa kubwa kwa chama tawala kudhani wao ndio wanapaswa kutawala nchi hii miaka yote...
  16. Bams

    Rais Samia Ajihadhari na Mtego wa Wa Fomu 1.

    Rais Samia alipoingia madarakani, kutokana na yale aliyoweza kuyatenda mwanzoni, alisifiwa, alipendwa na kuungwa mkono na watanzania wengi wenye akili timamu wenye mapenzi mema kwa Taifa: 1) Alifuta kesi za kuwabambikia wapinzani 2) Mara kadhaa alikemea vitendo vya kishetani vilivyokuwa...
  17. Surya

    Msaada wa mbinu ya kuruka Mtego

    Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba.. Karuka, na kudai tuwe marafiki. Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane. Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na...
  18. Sir John Roberts

    Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

    Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
  19. Magical power

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
  20. Oya Tusepe

    Biblia Takatifu: Mathayo 7:22-23 ni angalizo linalohitaji maarifa (Wakristo tupo kwenye mtego mkali sana)

    Matt 7:22-23 "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu." Andiko tajwa hapo juu ni zito sana, na...
Back
Top Bottom