mtego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    Wimbo wa Ney umeimbwa na malaika ni mtego kwa bunge na utawala!

    Mashairi haya yamepangiliwa sio na ney Bali kuna malaika alisimama nyuma ya Ney! Hakuna aliyeachwa humo ndani ! Ni zaidi ya hotuba inayofaa kuisikiliza kwa masaa sita bila kuchoka! Soma: Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7 Dakika Tano za wimbo huu hazijaacha...
  2. blogger

    Haya Mapokezi yalikuwa si ya kawaida. Haikuwa rahisi mtu yeyote kuchomoa huu mtego.

    Hamjiulizi. Wametuzidi akili. Hakuna mtu angechomoka hapa..
  3. Mufti kuku The Infinity

    Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

    Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu. Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo? They are acting like they were in boarding schools for 10...
  4. Capital

    Wazo makini: 'BlackBox Education' ni mtego wa kifo cha Tanzania na Africa

    Wakuu GT.. nawasalimia sana. Niende moja kwa moja kwenye mada. 1. Utangulizi Hapana shaka kuwa kiwango cha maendeleo ya nchi au bara hutegemea ubora wa raslimali watu katika nchi/bara husika. Ubora huu wa raslimali watu ndo hutofautisha nchi na nchi, bara na bara katika maendeleo ya kiuchumi...
  5. BIG STONE AND CONER STONE

    Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

    Ushauri kwa ndugu yetu ambaye yupo masomoni nchi za Ulaya. Ndefu ila nafupisha kwa kadri ya uwezo. Bro.Wangu anasoma nchi moja hapo Ulaya! Huyu ni brother alienda Europe 2020 kimasomo katika fani ya afya hivyo amefanikiwa kupata chuo kizuri na kuanza kuishi maisha ya hostel. Hivyo baadae...
  6. Shujaa Mwendazake

    Feisal kutoheshimu maamuzi ya TFF anaendelea kufanya makosa ya kiufundi yatakayomgharimu wakati Yanga wakiendelea kumlipa mshahara kama mtego

    Baada ya Fesal kuangukia pua tena kwenye Review ya hukumu iliyotolewa kati yake dhidi ya mwajiri wake klabu ya Young Africans sasa twende Moja kwa moja kwenye mada. Klabu ya Yanga inaendelea kumlipa Feisal mshahara kama mtego wa kiufundi utakaokuja kumgharimu baadaye kama hatotaka kutumia...
  7. M

    Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

    Haya Majiniasi (Akili Kubwa) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru (Akili Ndogo) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
  8. mdukuzi

    Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

    Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi. Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku. Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live...
  9. Izogi

    Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

    Salaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu...
  10. MK254

    Kuna mliotuaminisha kwa Urusi kukimbia Kherson ni mtego, haya Rais Zelensky afanya ziara Kherson

    Haya tuone kama rais atanasa kwenye mtego wenu, mlisema Urusi ametoroka ili kuwavuta Ukraina waingie kichwa kichwa kwenye mtego, fanyeni sasa. Nakumbuka hata wakati Warusi wanaikimbia Kyev mlisema ni mtego fulani hivi...hii mitego lini itanasa, maana kila Mrusi akitoroka sehemu mnasema mtego...
  11. GENTAMYCINE

    Ogopa sana ukienda Kucheza Ugenini tena kwa Waarabu halafu ukapokewa vizuri kwani huo huwa ni Mtego

    Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema. Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
  12. D

    Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

    Bila kupoteza Muda nijielekeze moja kwa Moja kwenye Mada. Wanawake wamekuwa wakipambania sana usawa 50/50 na serikali imekuwa ikitumia mbinu Nyingi sana ili kufanikisha jambo hilo ambalo ni kinyume kabisa na tamaduni zetu, hata kwenye vitabu vyetu vya dini ambavyo vinataka mwanamke awe msaidizi...
  13. Vocal Fremitus

    Nishaurini namna ya kutoka kwenye huu mtego

    Kuna kabinti kamenielewa. Nilikutana nae njiani katika pita pita zangu nikadaka namba. Naweza sema kwenye vigezo vya mwanamke wa ndoto zangu ametimiza 6/10. Kwahyo wakati namtongoza lengo langu lilikua kutuliza ham zangu tu na kusepa. Ingawa awali sikumfahamisha hilo. Mwanzoni nilimdanganya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Je, mambo yako hayaendi? Tegua mtego!

    JE MAMBO YAKO HAYAENDI? TEGUA MTEGO! Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi! Mambo haya ni bure, wala sitakuchukulia chochote Kama faida. Nimeyaandika haya kama kumbukumbu Kwa hao watakaona yatawafaa, tena isihesabike maneno haya ni kifungo kwa yeyote bali yawe ufunguo Kwa hao waliofungwa...
  15. Boss la DP World

    Jinsi ninavyotumia gari kama mtego wa warembo

    Habari zenu wakuu, leo nataka niwasimulie jinsi ninavyotumia Gari kama ulimbo wa kuwanasa watoto wazuri, naamini mtaenjoy sana hasa kisa cha binti Rachel nasema uongo ndugu zangu? Kwakuwa mara nyingi nakuwa na safari za kwenda Dodoma kikazi (maana ndipo ilipo Serikali), basi gari langu...
  16. ACT Wazalendo

    Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  17. ACT Wazalendo

    Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  18. S

    Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

    Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei. Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri. Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei 1. Upungufu wa mafuta 2. Tangazo la...
  19. GENTAMYCINE

    Mtego Muhimu kwa Kocha wa Simba SC Pablo ambaye pia anatakiwa sana na Orlando Pirates FC wasio na Kocha Mkuu kwa sasa

    Akiivusha Simba SC kwenda Nusu Fainali ya CAFCC dhidi ya Orlando Pirates FC atakuwa ameponya Kufukuzwa (kuwa Sacked) Msimbazi, ila tayari Matajiri wa Orlando Pirates FC nao wameshampa Ofa (tena Kubwa tu) kama akikubali kutua Kwao muda wowote kuanzia sasa. GENTAMYCINE ningekuwa ndiyo Kocha Pablo...
  20. Stroke

    Huu ni upendo, utu wema au mtego?

    Nilikwenda mahali kupata huduma. Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu. Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo. Nikapewa muda wa kwenda kuchukua bidhaa yangu. Sasa wakati wa kuichukua nikaona movements ambazo sizielewi na pia sura yake...
Back
Top Bottom