mtego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira, lakini kwa undani wake, unaelekea kuwa mtego wa umasikini kwa vijana wengi. Cha kusikitisha zaidi...
  2. My sister chrismass inakujà Epuka huu mtego

    My sister, Mpenzi wako atakufanyia visa ili ukasirike hivi karibuni, Lakini usije ukagombana nae, ni mtego huo. Krismasi ipo karibu, dada. Siri ya kambi
  3. Yanga yatumia mtego wa Manara tena, na wengi wamejaa

    Yanga tumefungwa mara nne mfululizo na tulikuwa tunapata pressure kutoka Kwa media na mashabiki wengi Sasa tumewapa mtego wa Manara amkane Eng Hersi na wengi wamejaa Na Sasa uongozi una Fanya mabadiliko madogo bila s pressure Mosi, Timu imehamia KMC complex ila wengi hawajali wapo busy na...
  4. Mtego umewanasa, Yanga tukianza kushinda hatutaki visingizio

    Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k Haya yote yametokea...
  5. MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
  6. M

    Mtego kwa Nchi za Kiafrika

    Naam kutokana nahizi vita vina vyo endelea duniani. Russia na Ukraine na mashariki ya kati kama Israeli na Palestine mixer Iran china Taiwan nk Hawa ngozi nyeupe wakishachapana wakakaa sawa Watataka kumalizia HASIRA zao kwanchi zakiAfrica. Hapo ndipo tutapo jua utamu wa vita lazima watupitishe...
  7. Tahadhari kwa Iran: Usijibu Mtego wa Israel

    Kama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel – huu ni mtego wa hatari! 1️⃣ Mpango wa Kimkakati wa Israel imeanza na mkakati wa kuwadhoofisha washirika wake wa karibu, makundi ambayo yamekuwa tishio kubwa kwake. Baada ya...
  8. Wanawake wengi huondoka na Watoto wakidhani Wanaume watawafuata. Sijui nani aliwadanganya kuwa Mwanaume mtego wake ni Mtoto.

    WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo. Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanamke...
  9. Mbinu wanazotumia wapinzani kukwepa mtego wa kukutwa na vidhibiti wanapopekuliwa na polisi majumbani mwao

    Mwanasiasa wa mwisho kukutwana vidhibitinyumbani ni Seif Sharif Hamad mwanzoni mwa miaka ya 80 huko. Mwanasiasa aliyefikia ngazi ya njuu nchini huwa na makazi mikoa mitatu,Dodoma,Dar es salaam na kijijini kwao kwa asili. Kwa hapa Dar es Salaam wanasiasa wengi wana makazi zaidi ya moja,makazi...
  10. Mtego wa Mwindaji Ulipokamata Chui

    MTEGO WA MWINDAJI ULIPOKAMATA CHUI Bahati nzuri familia zote mbili za Bi Khadija Baramia na Captain Meki Abdallah Ali Kayaya zipo. Meki ni mchanganyiko wa Wamanyema upande wa kiumeni na Wangazija kikeni kwake. Uhasama wa Meki na Kaujore ulianza ndani jela. Inasemekana Meki alipambana na...
  11. Hela yote ya Dubai kaichukua, mtu kategwa kategeka mtego waaa!

    Hili jukwaa linaloheshimika sana ! Bwana mkubwa wa hapo beirut Kachukua maamuzi na ku freeze Pesa yooote ya Mauzi ambayo ilikuwa kwenye bank Dubai, account imekuwa freezed kwa maagizo ya Serikali ya Beiruti Nimekumbuka kwenye corridor fulan tulikuwa tunaongea kwa Makamu wa Ufalmeni hapo...
  12. Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

    Na nyie mliokuja PM kutaka niseme chochote tu kuihusu Yanga SC na kinachoendelea iwe mwanzo na mwisho sawa?
  13. Simba mmekubali kuingia kwenye huu mtego, Yanga hakuna mgogoro

    Ndo maana ninamkubali Eng Hersi Said. Yaani kaona Usajili wa 5imba ni WA umakini, akaona watatusubua kidogo hatutawapiga magoli mengi. Nawatahadharisha tarehe 8 sio mbali, Mtapigwa 8. Na itakuwa nane nane 1. Jiulizeni mahakama ilitoa hiyo jukumu zamani, kwanini iibuke Leo mechi ikiwa karibu😄😅...
  14. Ni ngumu kuelewa ila anafutwa na icc ni marekani na sio netanyau na huenda huu ukawa mtego wa putin. Kuisambaratusha nato

    Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato. Ziko nchi tayali wameshaweka Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc. Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia...
  15. Wanawake mnatukosea sana, huu mtego mnachomoka vipi ndugu zangu wanaume

    Ndugu zangu habari za wakati huu Wanawake tunawapenda sana sema kuna wakati mnachokitafuta mtakipata, sisi wanaume ni binadamu tuu na hatujakamilika kivile. Umekaa umetulia zako ghafla simu inaingia namba ngeni sauti halisi ya mwanamke haieleweki anaibuka tuu na kusema baby wangu unaendeleaje...
  16. Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  17. Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujiweka kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao

    Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujitega kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao. Simba wameendele kuachana na makocha wao kwa kipindi cha miaka 3 mfululizo Novemba 2021 - Mei 2022 Pablo Franco Juni 2022 - Septemba 2022 Zoran Mac Septemba 2022 - Januari 2023 Juma Mgunda Januari 2023 -...
  18. Unatokaje kwenye huu mtego?

    Upo zako unagonga menu, mara Paap watu usiowajua wanatolea udenda msosi wako. Utafanyaje?
  19. Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

    Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao. Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
  20. Serikali tulipeni fedha zetu sisi watumishi muliotunyima mshahara wa Machi

    Mbona wabunge wanalipwa bila mapingamizi yoyote. Wakistaafu wabunge pesa zao hazina mizunguko wanapewa cash zote. Mbona munaleta uonevu kwa watumishi kwa visingizio vidogo vidogo? Mishahara yenyewe ya watumishi ni kiduchu, ukipata inadumu siku 5 tu inaisha. Sasa tangu tulipwe tarehe 23 mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…