1. Ukiwa unaondoka ugenini wakakwambia mbona haraka, usiondoke kesho usubiri kesho kutwa n.k huo ni mtego. Ondoka, hapo wanajikosha tu.
2. Unaaga kwenda kazini, mpenzi wako anasema usiende mpunzike kidogo, huo ni mtego, ukibaki unajipunguzia credits.
3. Unaongea na mtu af anasema nikipata...