Punda mmoja alikuwa amefungwa kwenye mti.
Shetani (Pepo) akaja akaifungua ile kamba. Punda baada ya kujiona yuko huru, akaingia kwenye shamba na kuanza kula kila kitu.
Mke wa mwenye Shamba (Mke wa mkulima) akahofia Punda anataharibu kila kitu, hivyo akachukua bunduki, akamuua yule Punda...