Wakuu,
Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata wateja, na imekuwa rahisi kwa wapangaji kufikia maeneo hayo kirahisi kupitia madalali.
Ambapo, baada ya...
Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset.
Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!!
We manager ni zero brain kabisa!!
Najua huu uzi utausoma
NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao.
Je, hii ni sawa?
Katika kuendeleza hamasa ya matumizi ya kadi kwa wateja wake na Watanzania kwa ujumla, Benki ya CRDB imepanga kumzawadia mteja atakayekuwa na matumizi makubwa ya kazi zake za TemboCard Visa gari jipya aina ya Ford Ranger.
Sambamba na gari hilo jipya ambalo halijawahi kuendeshwa (kilomita...
Habari, Je, wewe ni freelancer mwenye ujuzi wowote ambae umejisajili na kutumia platform ya fiverr lakini hujapata kazi mpaka leo?
Karibu tukusaidie.
Competition ni kubwa Fiverr, You need a good Fiverr gig; we are here to help!
Tunaweza kukusaidia kwa kukutengenezea a good fiverr gig yenye...
Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa).
Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama skrepa lakini kuna magari mengine unaweza kupata mnunuzi wa bei nzuri tena siku hiyohiyo unayotangaza...
Usimuoneshe mteja wewe ni tajiri, usimuoneshe umejipata. Siku zote muoneshe unahitaji hiyo ela yake kuliko oxygen. Usimuoneshe Mteja umejipata
Hata kama kwa siku unafunga hesabu ya milion kadhaa Mteja wa elfu 50 ndo anaikamilisha milioni moja
Milioni moja bila elfu 50 ni 950,000/= Sisemi...
Tawi lenu lililipo mtaa wa Livingstone Kariakoo ni tawi linalotoa huduma mbovu zaidi ya matawi yote niliyowahi kuhudumiwa.
Ni mara kadhaa inanichukua hadi saa tatu kuhudumiwa huku nikiwa na kadi yenu ya Loyal customers ambayo pia nailipia.
Kuna madirisha manne lkn mara nyingi kama sio zote...
Watu wengi wanafirisika biashara Kwa kufuata mkumbo wa kufungua maduka, bar, vibanda n.k
Yaani mtu una million 2 au 3 unachukua mzigo wa kuweka dukani?
Ndugu utalia sana aisee,
Vijana wanatoka vyuo wanapewa mtaji na wazazi wanakimbilia kufungua boutiques, sijui bar, n.k na mtaji umepewa...
Kuna fundi kaja hapa kisha akampa Mteja nionge nae mteja akasema nimpe mahitaji anayo taka kisha nimtumie bili zote
Nondo pis 28 fundi aka chukuwa 14 tu
Binding ware 10 fundi kachukuwa tatu
Mifuko 20 Y cement fundi kachukuwa 10 tu
Nimeingiwa huruma sana kwani mteja anapigwa mno na ukizingatia...
WAKUU HII BENKI IMENISHINDA TABIA, SASA MTU KUANGALIA TU SALIO LANGU WASHAKULA 3500
SASA KAMA HUU⬆️ SIO UNGESE NI NINI?
Naombeni ushauri ni benki gan niwe naweka akiba zangu.
Ufike wakati makampuni ya Ving'amuzi wafanye utafiti kwenye biashara zao, kwanini watazamaji wa Televisheni wanapungua?
Huwa najiuliza mbona baadhi ya makampuni yanayotoa huduma za Internet wanatoa vifaa bure na gharama za ufundi, mteja analipia gharama za kifurushi tu tena kwa mwezi tu.
Kwa...
Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo
1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho,
2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...
Kuna hizi bar hasa za daraja la kati na chini paka huwa wametamalaki wanakodolea macho, wanajipitisha kwenye miguu, wanangurumia wateja na wengine wanawarukia hadi kuwaparua wateja ili wawape nyama au samaki.
Sasa paka wenyewe huwa katika hali mbaya sana ya kiafaya, wengine wakiwa na chawa...
Mteja ni mfalme ila kuna wakati naye huzingua na kujikuta kajivua au kuvuliwa ufalme wake na kuonekana kenge tu. Sababu zinaweza kuwa hizi.
1. Mteja anayeona duka linafanya SALE ila bila aibu anaomba apunguziwe tena bei.
2. Mteja ambaye baada ya kupewa bei hujibu "nyie bei ghali sana kwa...
Vutia wateja wengi kwa kuboresha mpangilio wa bidhaa zako.......
kwa shelves bora na za kisasa kutoka kwetu,
Una jiuliza bei yake ni ngapi?
Sasa, Gharama ya double shelves ni 550,000/= ( Bila vat ),
Ukilipia 600,000/= unapatiwa na risti yake.......
Single shelve yenyewe bei yake ni...
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja?
Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo
Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.