Fundi umeme wa majumbani kama kusuka, vifaa vya umeme kama pasi, heater, oven, microwave, fridge, n.k
Ukifanikiwa kupata kazi au kuniletea mteja utapa 30% ya malipo ya mteja atakayotoa
Tuma ujumbe pm.
Dar es Salaam > Kibamba
Wandugu hiki sio kitu kigeni kwa nchi zetu za kiafrika watu hutafuta utajiri kwa namna yoyote Ile muhimu wafanikishe mambo Yao!
Bila Shaka umewahi kusikia kuhusu kafara ya biashara au jini wa biashara ..ambapo mtu ili ammiliki huyu jini wa biashara ni lazima afanye kafara
Zipo kafara nyingi...
Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi?
Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
UTATOFAUTISHAJE ASALI MBICHI NA ILIYOCHEMSHWA?
Unaponunua asali, ni muhimu kutofautisha asali mbichi na iliyochemshwa. Kwa tulio wengi, hii ni kazi ngumu. Hivyo tunasikiliza analosema muuzaji. Hakika hii si njia sahihi ya kujihakikishia ubora na usalama wa bidhaa muhimu ya chakula.
Wamasai...
Nimeona niingie jamii forum kupoteza mawazo ila Bado akili imechanganya changanya hivi...nahisi kichwa sio kichwa nahisi vibaya vibaya.
Japo ukweli nimechoka lakini haiondoi maana kwamba hali yangu imebadilika tangu alivyokuja.
Huyu bibie kaja mchangamfu kafunga na hijabu...anaonekana mkarimu na...
ZINGATIA:
Hakuna mafanikio yanayokuja kiurahisi, utahitaji juhudi, muda, uvumilivu na kujifunza Zaidi mpaka kupata matokea hivyo usitegemee kupata matokeo ya haraka unapoanza kufanya ishu yoyote mtandaoni.
Haya tuangalie njia hizi.....
1. Uhandishi wa maudhui mtandaoni (Online Content...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake.
Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
Yaani kisa SERIKALI imetamka basi Bank inakua na mamlaka ya kuingia na kuchukua pesa kwenye account za Wateja Wake? Inawezekana vipi?
Sijawahi kuwa na mkataba na bank wa kunikata Tozo, je sheria inasemaje?
Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma linawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa pikipiki na mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumuua na kisha kumfukia mwanamke aliyekuwa ameenda kuzindika fedha za biashara kiasi cha shilingi milioni 9.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo katika wilaya ya Kasulu na...
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!
Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana...
Mfano umepanga Kukutana na mtu ambaye humjui sura kwa jambo la msingi Stend ya Mabus ya Magufuli,Mbezi.
Baada ya kupanga kuwa mtakutana pale, ghafla ukapoteza simu na namba yake huijui.
Kwakua tayari mlikuwa mmepanga kuonana unaamua kwenda tu.
Baada ya kufika, unakuta kuna watu wengi...
Kiukweli binadamu ni wabishi sana.
Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya yake haya ndio majibu anatoa🙄
Anyway, hawa ndio binadamu.
Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu au yeye bwana wakili kakosea au hakufuata utaratibu wa kutoa data za mteja .
MIC TANZANIA PUBLIC...
Mahakama ya Mkoa Chake Chake imemuhukumu Mshitakiwa Issa Abdalla Haji mwenye umri wa miaka 41 mkaazi wa shehia ya Wawi Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 30 pamoja na kulipa fidia ya shillingi millioni moja za Kitanzania baada ya kutiwa...
1. Swali: Chombo cha moto ni nini?
Jibu : Ni chombo kinachotumika katika usafirishaji ardhini, ambavyo ni pamoja na Magari, pikipiki na bajaji.
2. Swali: Nikitaka kununua gari kwa mtu taratibu zipoje?
Jibu : Unapaswa ufike ofisi ya TRA na picha ya pasipoti ya muuzaji, ripoti ya ukaguzi...
Salaam. Mdau mjuvi na mpenzi wa mafanikio ya binadam mwenzie anisaidie kupata mteja wa vanilla wa uhakika hasa wa nje kuanzia kg 100. Na haizid kg 150.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.