mtibwa sugar

  1. OKW BOBAN SUNZU

    Aibu: Yanga yakopi jezi za Plateau Utd kama zilivyo

  2. M

    Hivi hizi kazi za Mtibwa Sugar ni kweli, au utapeli

    Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
  3. Peramiho yetu

    Kocha wa Mtibwa Sugar anafundisha mpira wakati wa mechi; huko mazoezini hafundishi?

    Wakuu habari MWADUI VS MTIBWA Npo nasikiliza mpira kupitia redio hapa vikindu lakn kinacho nishangaza kocha wa timu hii anasikika Tena kwa sauti kupitia U FM akiwafundisha wachezaji wake kila hatua toka kupokea mpira atulize vp anawaelekeza nan ampe pas mchezaj akikosea utamsikia akilalamika...
Back
Top Bottom