Mtibwa Sugar Football Club is a Tanzanian football club based in Turiani. Their home games are played at Manungu Stadium.and using stadiums such as CCM jamhuri and Gairo as their home stadium
Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
Wakuu habari
MWADUI VS MTIBWA
Npo nasikiliza mpira kupitia redio hapa vikindu lakn kinacho nishangaza kocha wa timu hii anasikika Tena kwa sauti kupitia U FM akiwafundisha wachezaji wake kila hatua toka kupokea mpira atulize vp anawaelekeza nan ampe pas mchezaj akikosea utamsikia akilalamika...