Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimefuta utaratibu wa kufanyika Kwa mitihani ya kurudia (Supplementary) na Mitihani Maalum (Special) kwa Wanafunzi ambao watafeli somo au kutokufanya mitihani kutokana na sababu mbalimbali. Hayo yameelezwa na Kaimu Amidi wa Shule ya Uandishi wa Habari na...