Chuo Kikuu cha UDSM chabadili utaratibu wa Supplementary na Special Examination

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimefuta utaratibu wa kufanyika Kwa mitihani ya kurudia (Supplementary) na Mitihani Maalum (Special) kwa Wanafunzi ambao watafeli somo au kutokufanya mitihani kutokana na sababu mbalimbali. Hayo yameelezwa na Kaimu Amidi wa Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC), Dkt. Elisha Magolanga.

Chanzo : Mlimanitv official

Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
 
Umefafanua vizuri na hiki ndicho kilibidi kiandikwe pale juu, shida ya waandishi wa siku hizi wanaweka heading nyingine, tag nyingine ila kilichomo kwenye content husika ni kingine kabisa
 
Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Kwa hiyo ukipata Sup mwaka wa mwisho wa masomo ina maana hu graduate tena mwaka huo mpaka mwakani sio.
 
Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Hii walitufanyiaga SAUT nikiwa mwaka wa 3 ...2009...alooo yaani unakipindi mwaka wako na muda huohuo una kipindi mwaka wa pili ulichokibeba. Noma sana
 
Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Asante kutusaidia tusioweza kusikiliza
 
Back
Top Bottom