Chuo Kikuu cha UDSM chabadili utaratibu wa Supplementary na Special Examination

Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Inatofauti gani na kucarry?
 
NI mtihani unaofanywa endapo mtu amefeli kwenye mitihan ya kumalizia muhula

Yaani kwa mfano umeshindwa kufikisha marks za somo labda kiswahili kwenye mtihani wa mwisho wa muhula basi inakubidi urudi mwez wa 9 kabla ya chuo kufunguliwa tena ili urudie tena hilo somo
Asante,
Hii kitu haikunipata
 
Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Maelezo uliyoandika ndio yaliyopo kwenye hiyo video,mleta mada alitakiwa kuyaandika yote hayo kwenye kichwa cha habari? Bado samare ya hayo yote ni WAMEFUTA SAPU
 
Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
ukiwa mwaka wa mwisho maana yake huto-graduate. Hii ni mbaya sana!!!!
 
Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
vipi siku unafanya mtihani wa 2nd year at the same date una mtihani wa 1st year ?

Utaratibu utakuaje apa ?
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimefuta utaratibu wa kufanyika Kwa mitihani ya kurudia (Supplementary) na mitihani malum (Special) Kwa Wanafunzi ambao watafeli somo au kutokufanya mitihani kutokana na sababu mbalimbali.

Chanzo : Mlimanitv official

Mara wamepandisha gharama za hostel, mara wanafuta mitihani. Kila siku taharuki

Nawaona vijana wa Jalalani wakojitokeza kwa wingi tar 29
 
Nilichogundua kutokana na baadhi ya "comments" hapa ni kwamba wengine wanatoa maoni kwa kufuata kichwa cha habari- hawajasikiliza/tazama hiyo video clip. Kichwa cha habari hakijakaa sawa.
 
Kuepusha hayo ni kujitahidi tu kuepukana na sup, home kulivyo mbali miaka hiyo nipo chuo nilipambana kuhakikisha sup inipitie mbali kabisa maana ukiwaza nauli tu unaishiwa pawa
 
Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Sasa ndio yaleyale tu bado ni suppkwa maana umerudia mtihani kilichobadilika tu ni tarehe
 
Back
Top Bottom