Chuo Kikuu cha UDSM chabadili utaratibu wa Supplementary na Special Examination

Mara wamepandisha gharama za hostel, mara wanafuta mitihani. Kila siku taharuki

Nawaona vijana wa Jalalani wakojitokeza kwa wingi tar 29
VYUO vikuu ilikuwa zamani Enzi zetu. Kunji, kunji kweli! siku hizi kuna watoto wa mama, bumu tu linawamaliza akili. they posses very low thinking capacity.

mhadhiri anabambikizwa kesi ya ugaidi, wanafunzi wapowapo tu
 
Changamoto kubwa ni ukosefu wa ushirikishwaji wa sisi wanafunzi katika maamuzi yanayotuhusu, kama vile ongezeko la gharama za masomo (Direct costs) na ada za malazi (accommodation fee), pamoja na kuondolewa kwa mitihani ya marudio (Supplementary) na mitihani maalumu (Special Exams).

Ni muhimu uongozi wa chuo kuwashirikisha wanafunzi kabla ya kufanya maamuzi hayo na kutoa taarifa mapema kuhusu mabadiliko yanayotarajiwa ili kusudi wanafunzi waweze kujiandaa na namna ya kuendana na mabadiliko hayo.

Hatupingi mabadiliko bali ushirikishwaji na kupewa taarifa mapema lilikuwa jambo jema sana. Hii itasaidia kuzingatia maoni na changamoto za wanafunzi, kuongeza uwazi na kuhakikisha maamuzi yanafanyika kwa kuzingatia maslahi ya pande zote.
 
Mnataka mshirikishweje Kila mtu!? SERIKALI ya wanafunzi si IPO!? Ndiye mliyechagua akawaombee kutukana WAPINZANI n kusifia Serikali!! Sasa mnalaumu nini
 
Umefafanua vizuri na hiki ndicho kilibidi kiandikwe pale juu, shida ya waandishi wa siku hizi wanaweka heading nyingine, tag nyingine ila kilichomo kwenye content husika ni kingine kabisa

Mwandishi Yuko sahihi haweezi kufafnua hoja kwenye heading ameweka heading nzuri inayomshawishi msomaji kusoma
 
VYUO vikuu ilikuwa zamani Enzi zetu. Kunji, kunji kweli! siku hizi kuna watoto wa mama, bumu tu linawamaliza akili. they posses very low thinking capacity.

mhadhiri anabambikizwa kesi ya ugaidi, wanafunzi wapowapo tu
Amini mkuu, Nidhamu ya uoga imekua tatizo. Yani mtu unanyimwa haki yako unabaki umekunja mkia.
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimefuta utaratibu wa kufanyika Kwa mitihani ya kurudia (Supplementary) na Mitihani Maalum (Special) kwa Wanafunzi ambao watafeli somo au kutokufanya mitihani kutokana na sababu mbalimbali. Hayo yameelezwa na Kaimu Amidi wa Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC), Dkt. Elisha Magolanga.

Chanzo : Mlimanitv official

Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Unajitahidi kutoa maelezo, lakini ukweli ni kwamba ni upuuzi tu! Hakuna chuo chochote cha maana kinaweza kutoa maamuzi ya aina hii. UD na wote wenye utaratibu huu wanasukumwa na kutafuta pesa za wanafunzi.

Kuna jambo halielezwi, kwamba watalipia mitihani hiyo. Ni vyuo mshenzi tu na uongozi wa kishenzi ndo unaweza kuamua mambo kama haya. Halafu eti anasema ukifanya uzembe, kwani supp ni uzembe?
 
Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Sio ndio video inavyosema... maana yake kama ulitakiwa kumaliza 3rd year mwaka 2026, ukashindwa kufanya mtihani au ukapata sup, utasubiri mpaka 3rd year wa mwaka 2027.
 
Kichwa cha habari kinaweza kuleta taharuki kubwa, ila baada ya kusikiliza nimeelewa kuwa ule utaratibu wa kufanya sup na special mwezi wa 9 hautakuwepo na badala yake wale watakaokuwa na changamoto tajwa watafanya pepa zao na wale watakaofanya mtihani huo kwa mwaka husika

Kama una sup au una special mwaka ukiwa 1st yr huu basi utafanya mtihani huo na 1st yr wa mwaka unaofuata wewe ukiwa 2nd yr
Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom