mtindo wa mavazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ikiwa leo shule mbalimbali zipo katika mahafali, wadau wa mavazi toeni maoni yenu kuhusu huu mtindo

    Leo dogo anakata keki, ilikuwa safari ndefu sana kwake, kwani alirudia madarasa kadhaa. Lakini hatimae amemaliza darasa la saba, familia tumejawa na furaha tele, kwani haikuwa rahisi. Wadau wa mitindo na mavazi, mnampa maks ngapi fundi wa hili vazi, je dogo kapendeza au fundi kaboronga?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…