Leo viongozi wa Simba na Yanga wametembelea Ikulu ya Chamwino kuongea na mama Samia. Mavazi waliyovyaa ni ya kawaida tu na wengine wamevaa makoti, jinsi na shati bila kuchomekea +raba.
Nimejikuta nakumbuka Zelensky akipotembelea ikulu ya Marekani, waandishi wa habari na Wamarekani hawakuridhishwa na mavazi ya Zelensky kwani hakuvaa suti. Siku zote nilikuwa najua Wazungu wamerahisisha sana kuhusu mavazi lakini walipommaindi Zelensky ndipo nikagundua kumbe kuna mavazi ya hadhi kwa level fulani katika mazingira fulani mfano Ikulu.
Napendekeza, wageni wanaomtemblea rais Ikulu kama wageni rasmi wawe wanavaaa suti na viatu vya ngovi, hasa hawa wageni Watanzania kwa sababu wanakuwa na miadi na siyo kushtukizwa!
Au sisi tumeamua kupuyanga tu mana inaripotiwa kuna wabunge pia hawavai soksi. Kutokuvaa soski si mambo ya wale vijana mashorobaro au!
Nawasilisha