Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Mwamba kajikubali kajiweka kama yupo nyumbani mpaka rais mwenyewe imebidi afurahi tu 😂😂Kaka kodi ya ikulu hiyo hapo
View attachment 3367166
Mwamba kajikubali kajiweka kama yupo nyumbani mpaka rais mwenyewe imebidi afurahi tu 😂😂Kaka kodi ya ikulu hiyo hapo
View attachment 3367166
Mbona kama anaanda mistari hivi🤔Kaka kodi ya ikulu hiyo hapo
View attachment 3367166
ko hapo hakupaswi kuvaliwa kanzu wamevunja sheria gan hapo??unavaaje kanzu hapo kenge we? Kama unapenda uislam kavae kanzu msikitini na kwenye mishe zako.
Watakutandika fimbo getini, utatoka speed sana bwana - mdogo.Mimi ipo siku nitaenda ikulu na boksa halafu poyoyo wa ikulu aanze kunizingia kama sijamfanya kitu mbaya.
Haiwezekani hawa waruhusiwe na hawa wasiruhusiwe.
Mimi mwenyewe nimeshangaa eti mavazi ya ikulu? Ndio maana nimeona ninywe pombe tu kwa afya🤣Mwamba kajikubali kajiweka kama yupo nyumbani mpaka rais mwenyewe imebidi afurahi tu 😂😂
hata huyo aliyevaa jeans naye ni mpuuzi tu kama wenzake wa kanzu. Jeans ni vazi la kihuni totallyMkuu unajua kuna mavazi rasmi ya kiserikali na hayo unayoyasema vibaya yapo yanatambulika kabisa?
Kwa nini unaona mavazi hayo ni ya kihuni wakati hayo ni mavazi ya heshima kabisa?
Pia, utaonaje mavazi hayo ya kihuni wakati upande wa pili wa mavazi hayo, kwa wanawake, ndivyo alivyovaa rais?
Yani kweli kabisa umeona mavazi hayo ni ya kihuni kuliko huyo mtu aliyeingia Ikulu na blue jeans?
si kila kitu hutungiwa sheria, kuna sheria ya asili isiyoandikwa popote ukienda kinyume nayo utaonekana umekoseako hapo hakupaswi kuvaliwa kanzu wamevunja sheria gan hapo??
Kanzu inatambulika kama vazi rasmi serikalini mkuu, jielimishe tu.hata huyo aliyevaa jeans naye ni mpuuzi tu kama wenzake wa kanzu. Jeans ni vazi la kihuni totally
Aaaaaaaaahhhh?punguza kula mavi ya binadamu
Kwani dress code ya Ikulu imekataza? Au hizo suti ndo vazi rasmi la Taifa???wiiiiiivuuuusawa, sasa hapo kulikuwa na umuhimu gani kwenda na makanzu hayo ikulu? Kwani hapo ni masjid? Akili hawana, hapo si mahali pa kanzu, kanzu wakavae misikitini wapuuzi hao
uvae kanzu ofisi za uma si utaonekana akili haziko sawa? Acheni kutetea mavazi ya kipuuzi kwenye ofisi za ummaKanzu inatambulika kama vazi rasmi serikalini mkuu, jielimishe tu.
Tafuta muongozo wa mavazi ofisi za serikali.
jifunze kwa kuangalia kabla ya vitendo, unavaaje mavazi ya kipuuzi ikulu?Kwani dress code ya Ikulu imekataza? Au hizo suti ndo vazi rasmi la Taifa???wiiiiiivuuuu
mbona mm sion kama kuna shifa yoyote hapo s wamejistiri au wako uchi?si kila kitu hutungiwa sheria, kuna sheria ya asili isiyoandikwa popote ukienda kinyume nayo utaonekana umekosea
Aisee kama unachukia vazi la kanzu kwa ajili ya chuki zako kwa uislam nikupe pole sana maana umejidhalilisha sana upeo wako mdogo, kwa taarifa yako hata hapa Tanzania kuna baadhi ya makabila hata kwenye harusi unapewa vazi la kanzu kwa mwanaume kama ishara ya vazi la heshima haijalishi dini.uvae kanzu ofisi za uma si utaonekana akili haziko sawa? Acheni kutetea mavazi ya kipuuzi kwenye ofisi za umma
nani alipitisha muongozo huo wa kuvaa kanzu ikulu kama si kwa maslahi ya imani yake ya kidini? Kama ni hivyo basi wapuuzi wengine nao wakipata mualiko ikulu watavaa kipuuzi kulingana na upuuzi wao. Vazi la msikitini unavalia kwenye ofisi ya umma, are you serious?Kanzu inatambulika kama vazi rasmi serikalini mkuu, jielimishe tu.
Tafuta muongozo wa mavazi ofisi za serikali.
Kanzu si vazi la kidini.nani alipitisha muongozo huo wa kuvaa kanzu ikulu kama si kwa maslahi ya imani yake ya kidini? Kama ni hivyo basi wapuuzi wengine nao wakipata mualiko ikulu watavaa kipuuzi kulingana na upuuzi wao. Vazi la msikitini unavalia kwenye ofisi ya umma, are you serious?
Mwamba kapiga blue jeans ndani ya Ikulu.