Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Huwa unasoma jukwaa la historia?
Aliyekuambia mavazi ni dini nani mkuu?
Kuna waarabu wana majina ya kiarabu huko misri na ni wakristo na kinyume chake
sishangai kwani jamii zetu za pwani zinanasibisha kanzu kama ni vazi la mila na desturi zao nje na uislamu, lakini kanzu ni vazi la dini ya kiislam. Kama unabisha vaa kanzu yako safi halafu nenda baa ukanywe pombe au nenda kwenye kwenye vikundi fulani kama vya makahaba au karekodie maigizo yenye maudhui yasiyo ya kiislam uone jinsi waislam watakavyo shikwa na jazba na munkari kutaka kudhuru mtu. Acheni kuvaa mavazi ya hovyo sehemu nyeti
 
Ulisawahi kuishi nchi yeyote ya kiarabu
 
W
Kuna hilo puuzi moja hapo lenyewe limevalia utadhani lipo msikitini na linawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
We acha udini wa kijinga wewe,hivi mbona una chuki na waislamu Sana? Walichokufanyia waislamu sijui kipi?
 
Kanzu si vazi la kidini.

You are boring me with your Islamophobia.
sina hofu na uislam, kuvaa kanzu kama inavyoonekana pichani haipendezi katika nchi isiyoongozwa na itikadi ya dini ya kiislam. Kuna haja gani ya kuonekana we ni mfuasi wa dini ya kiislam ikulu kama si upuuzi?
 
Hivi nani amekuambia
Kanzu la kiislamu? Mbona una ushamba wa kijinga?
Kanzu ni vazi la heshma hata Mwinyi,Nyerere,Mkapa,Kikwete,Magufuli walivaa tena ndani ya Ikulu.

images (2).jpeg
 
kweli hawa wase.nge jazz band tupu, sasa koti la suti+kanzu ndio uvaaji gani huo? anavaa kama anaenda kunya! hovyo kabisa, wameidharau ikulu.
 
Kuna hilo puuzi moja hapo lenyewe limevalia utadhani lipo msikitini na linawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Bwashee unaogopa hadi kanzu?
Sasa akisimama mbele yako rijali mmoja na sime si utajinyea?
😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣
 
Kanzu haipendezi kabisa, inaashiria udini, afadhali huyo mpuuzi wa jeans
 
Leo viongozi wa Simba na Yanga wametembelea Ikulu ya Chamwino kuongea na mama Samia. Mavazi waliyovyaa ni ya kawaida tu na wengine wamevaa makoti, jinsi na shati bila kuchomekea +raba.

Nimejikuta nakumbuka Zelensky akipotembelea ikulu ya Marekani, waandishi wa habari na Wamarekani hawakuridhishwa na mavazi ya Zelensky kwani hakuvaa suti. Siku zote nilikuwa najua Wazungu wamerahisisha sana kuhusu mavazi lakini walipommaindi Zelensky ndipo nikagundua kumbe kuna mavazi ya hadhi kwa level fulani katika mazingira fulani mfano Ikulu.

Napendekeza, wageni wanaomtemblea rais Ikulu kama wageni rasmi wawe wanavaaa suti na viatu vya ngovi, hasa hawa wageni Watanzania kwa sababu wanakuwa na miadi na siyo kushtukizwa!

Au sisi tumeamua kupuyanga tu mana inaripotiwa kuna wabunge pia hawavai soksi. Kutokuvaa soski si mambo ya wale vijana mashorobaro au!

Nawasilisha
Tuliaaaaaa

Mama kaita watukutu ikulu ili wacheze

Hakuita kwenye dhifa au state event

Hao unaowaona hapo ni vikundi vya wahuni
 
Back
Top Bottom