Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Kuna hayo mapuuzi hapo yamevalia kanzu utadhani yapo msikitini na yanawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Kuna mgalatia mwenzako ana hela ya kuweza kudhamini hizo timu?
 
Mbona Makonda anava sana hilo vazi na yeye sio muislamu na hakuna anayesema kitu, ni kweli kwa waislamu hilo vazi linaheshima ila hiyo haiondoi kwamba ni vazi la asili ya waarabu bila kujali imani.
ukiwa kiongozi wa umma lazima uendane na watu wako wa imani tofauti hata mavazi yao utavaa ila siyo official
 
Muongozo wa mavazi sio Sheria za nchi, ni maelekezo ya aliyepo Ikulu kwa mda huo, Kama anataka wageni wake wavae pendi, mtavaa tu
na wale wamevaa kanzu wakijua mwenyeji wao hatawashangaa uvaaji huo
 
Kuna mgalatia mwenzako ana hela ya kuweza kudhamini hizo timu?
kwa kuwa wanadhamini timu ndio wavae kidabwada hivyo kisa wana hela? Shame on them, ikulu ni sehemu ya kuheshimiwa pakubwa, vaaeni mavazi yenye hadhi ya hapo, kanzu kavaaeni misikitini tani yenu
 
Dah! Kobazi na pro kobazi wananilapukia, njooni wote majibu mtayapata!
 
Shida ni mtazamo wako kuhusu kanzu na maneno uliyoyatumia tu mkuu.
lini kanzu imekuwa vazi rasmi la kuvalia kwenye matukio ya kiserikali? Wale viongozi wanaovaa vile huvaa vile ili kuendana na tukio mahsusi la kidini hasa kwa waislam inabidi uvae kama wenyewe ili mfanane kwenye hiyo event ya kidini. Sasa uvae kanzu halafu utinge ofisi za umma si utaleta ukakasi na kuonekana unaleta udini kwenye ofisi ya umma?
 
Mi sio mwenye uzi mjue! Naona mnaniandama tu, ngoja nipumzike kujibu nitarudi baadae kujibu komenti zote zilizonikwoti. Mtajua hamjui yapi ni mavazi ya kwenda nayo ikulu, pahala patukufu na penye enzi kuu nchini
 
we nawe ni kenge tu, huwezi kuvaa mavazi upendavyo eti kujisitiri. Mavazi yanatafsiri nyingi unaweza kuonekana hata mwehu kama hutazingatia uvaaji mahsusi
Jifunze kuchangia bila maneno makali kumbuka tu uhuru wa kujieleza una mipaka ikiwemo kuchangia bila matusi na maneno yaso staha boss.
Nb. Nisamehe kwa komenti hiyo iliyokukera.Hatujuani kwanini tutukanane humu?
 
kwa kuwa wanadhamini timu ndio wavae kidabwada hivyo kisa wana hela? Shame on them, ikulu ni sehemu ya kuheshimiwa pakubwa, vaaeni mavazi yenye hadhi ya hapo, kanzu kavaaeni misikitini tani yenu
Mbona Papa Leo anava gauni na haulalamiki?
 
lini kanzu imekuwa vazi rasmi la kuvalia kwenye matukio ya kiserikali? Wale viongozi wanaovaa vile huvaa vile ili kuendana na tukio mahsusi la kidini hasa kwa waislam inabidi uvae kama wenyewe ili mfanane kwenye hiyo event ya kidini. Sasa uvae kanzu halafu utinge ofisi za umma si utaleta ukakasi na kuonekana unaleta udini kwenye ofisi ya umma?
Sawa mkuu umeshinda vazi la kanisani na msibani ndio rasmi tunakubali.
 
eti zaidi ya chuki tu! Wewe ni Kiranga kweli au ID umeiga ya Kiranga anayefahamika humu, mbona napata wasiwasi kama si wewe? Umekumbwa na inferiority complex!
Hapana.

Huelewi kuwa Kiranga ni libertarian.Huelewi hata libertarian ni nini.

Unaniwekea expectations zako bila kunijua. Unajifanya unanijua mimi zaidi ya ninavyojijua mwenyewe. That is absurd as it is presumptuous.

Na hatuwezi kuelewana kwa sababu hatuzungumzi lugha moja.

Ni sawa na niongee Kigiriki cha kale halafu nikategemea mtu anayeongea Kiswahili ambaye haelewi Kigiriki cha kale anielewe.

Hujafikia viwango vya kujadiliana na mimi na majibizano haya ni pointless.

Makupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona kabisa unachoandika.
 
sawa tu ukinikimbia, maana nimekubana kisawasawa mpaka umeamua kuingia mitini usinione, shame on you!
 
Back
Top Bottom