LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
wanavyovaa akina mama wa kiislam hata mama asiye muislam akivaa ni sawa tu, hakuna ugomvi. Kanzu zina ugomvi sana, hata kwa waislam wenyewe muhuni avae kanzu waislam wenzake watamletea shida, sembuse asiye muislam? Mi si muislam ila napenda sana wanawake wavaa ushungi, naona wanapendeza sanaMpaka hapo hujioni una sheria mbili zinazopingana kwa wakina mama na wanaume?
Huoni ubaguzi wa kijinsia kuhusu nguo unazoziita za kidini hapo?