UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,243
- 9,657
Suti?Yale official yanoyotakikana.
Suti?Yale official yanoyotakikana.
Unaumia watu kuvaa kanzu au shida nini?Kuna hayo mapuuzi hapo yamevalia kanzu utadhani yapo msikitini na yanawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Nimekuwa Chadema ?We Kila kitu unanipinga.
Haya!
suti ni vazi la heshima la kimataifa, wale marais wa nigeria huvaa majoho na vikofia ni identity yao kama mtindo wa kinigeria ila sijawahi kumuona rais jonathan amevaa joho. Yeye ilikuwa ni suti na ile kofia yake kama ya rais kiir wa sudan kusini au museveni wa uganda, yale mavazi ndiyo brand zaoHizo suti mbona zinavaliwa makazini na makanisani.
Yeah!Suti?
Kwani wewe ni sisiemu?Nimekuwa Chadema ?
Mimi ni Mtanzania mzalendo na mlinzi wa taifa.Kwani wewe ni sisiemu?
acha ujinga, kina mwijaku walivaa wakaanza kucheza muziki nayo waislam wakamuijia juu vikali na kudai anaudhalilisha uislam kwa kuvaa kanzu kisha anacheza muziki wa kihuni! Wasanii wangapi huingia matatani kwa kuvaa kanzu na kwenda kurekodia kazi zao za sanaa? Mi mwenyewe hapa ninayo na nimeifupisha mikono ili nianze kutoka nayo kama koti la madaktari sitaki shari na vazi hilo la kidinikanzu sio vazi la kiislamu. Jielimishe.
Huna akili mpaka Leo umeshindwa kutambua kwamba kanzu sio vazi la dini bali ni vazi la kitamaduni la jamii ya watu wa Arabic na utamaduni huo waliuiba Toka misri ya kale ilivyokuwa inaitwa kemet mafarao walikuwa na utamaduni wa kuvaa kanzu --- kanzu Haina uhusiano wowote na masuala ya kiimani Kuna baadhi tu ya viongozi wa dini Wana fosi kanzu itambulike kuwa ni vazi la kidini lakini hakuna kitu kama hichoKuna hayo mapuuzi hapo yamevalia kanzu utadhani yapo msikitini na yanawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Kanzu ni vazi la waarabu na tunaona hata viongozi wa kutoka huko arabuni kuja huku huwa wanavaa kanzu zao hata wakienda ikulu, ila wewe unaona ni vazi lisilo la heshima na kwamba ni vazi la kuendea msikitini tu.suti ni vazi la heshima la kimataifa, wale marais wa nigeria huvaa majoho na vikofia ni identity yao kama mtindo wa kinigeria ila sijawahi kumuona rais jonathan amevaa joho. Yeye ilikuwa ni suti na ile kofia yake kama ya rais kiir wa sudan kusini au museveni wa uganda, yale mavazi ndiyo brand zao
Hapo sawa, usiwe kama akina Luka na chembe.Mimi ni Mtanzania mzalendo na mlinzi wa taifa.
kama una hoja usiniambie sina akili tafadhali! Kama kanzu sio vazi la dini basi ngoja nianze kulivaa na nisione muislam yeyote atakayedai nimevaa vazi takatifu la dini yaoHuna akili mpaka Leo umeshindwa kutambua kwamba kanzu sio vazi la dini bali ni vazi la kitamaduni la jamii ya watu wa Arabic na utamaduni huo waliuiba Toka misri ya kale ilivyokuwa inaitwa kemet mafarao walikuwa na utamaduni wa kuvaa kanzu --- kanzu Haina uhusiano wowote na masuala ya kiimani Kuna baadhi tu ya viongozi wa dini Wana fosi kanzu itambulike kuwa ni vazi la kidini lakini hakuna kitu kama hicho
Kuna waarabu wengi tu ambayo Wana dini tofauti na uislam na wanavaa kanzu as vazi la asili na sio vazi la kidini
kama ni vazi la waarabu na mimi naanza kulivaa kudaadeeki! Nisione muislam atakayedai kwa nini nimevaa vazi la utukufu wa dini yao, kanzu ninayo hapaKanzu ni vazi la waarabu na tunaona hata viongozi wa kutoka huko arabuni kuja huku huwa wanavaa kanzu zao hata wakienda ikulu, ila wewe unaona ni vazi lisilo la heshima na kwamba ni vazi la kuendea msikitini tu.
Pole --- but kanzu sio vazi la dini ni vazi la utamaduni kama namna ilivyo mavazi ya kimasai --kama una hoja usiniambie sina akili tafadhali! Kama kanzu sio vazi la dini basi ngoja nianze kulivaa na nisione muislam yeyote atakayedai nimevaa vazi takatifu la dini yao
Mbona Makonda anava sana hilo vazi na yeye sio muislamu na hakuna anayesema kitu, ni kweli kwa waislamu hilo vazi linaheshima ila hiyo haiondoi kwamba ni vazi la asili ya waarabu bila kujali imani.kama ni vazi la waarabu na mimi naanza kulivaa kudaadeeki! Nisione muislam atakayedai kwa nini nimevaa vazi la utukufu wa dini yao, kanzu ninayo hapa
Hao hata siwatambui. Ni wakina nani ?Hapo sawa, usiwe kama akina Luka na chembe.
naumia nini we kobazi?, mbona hata huyo wa jeans naye kavaa hovyo?Unaumia watu kuvaa kanzu au shida nini?