Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Kuna hilo puuzi moja hapo lenyewe limevalia utadhani lipo msikitini na linawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Leo ijumaa huenda alitoka msikitini.ni sawa na umkute padri baada ya Misa na roman cola
 
hao waliovaa kikobazi walijua watampendezesha mwenyeji wao na itaonekana hakuna shida kuvaa vile. Huo si uvaaji wa ikulu. Hawa wasipokemewa hata wahuni wengine watapata ualiko ikulu na watavaa kihuni kana kwamba wanaenda kwenye matukio yao ya kipuuzi
Mkuu unajua kuna mavazi rasmi ya kiserikali na hayo unayoyasema vibaya yapo yanatambulika kabisa?

Kwa nini unaona mavazi hayo ni ya kihuni wakati hayo ni mavazi ya heshima kabisa?

Pia, utaonaje mavazi hayo ya kihuni wakati upande wa pili wa mavazi hayo, kwa wanawake, ndivyo alivyovaa rais?

Yani kweli kabisa umeona mavazi hayo ni ya kihuni kuliko huyo mtu aliyeingia Ikulu na blue jeans?
 
Kuwa na heshima wewe! Kwanza unajua kama leo ilikuwa Ijumaa?
ijumaa ndio ukurupuke toka msikitini na mikanzu, baraghashia na kobazi hadi ikulu? Acheni ujinga heshimuni ikulu, vaaeni mavazi muafaka ikulu na sio mnajivalia tu na kukimbilia pale pahala pa heshima kuu nchini. Pale sio masjid
 
Kuna hilo puuzi moja hapo lenyewe limevalia utadhani lipo msikitini na linawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Huwa unasoma jukwaa la historia?
Aliyekuambia mavazi ni dini nani mkuu?
Kuna waarabu wana majina ya kiarabu huko misri na ni wakristo na kinyume chake
 
ijumaa ndio ukurupuke toka msikitini na mikanzu, baraghashia na kobazi hadi ikulu? Acheni ujinga heshimuni ikulu, vaaeni mavazi muafaka ikulu na sio mnajivalia tu na kukimbilia pale pahala pa heshima kuu nchini. Pale sio masjid
Inaonesha elimu yako imekufanya uote matako badala ya maarifa.
 
Mimi ipo siku nitaenda ikulu na boksa halafu poyoyo wa ikulu aanze kunizingia kama sijamfanya kitu mbaya.

Haiwezekani hawa waruhusiwe na hawa wasiruhusiwe.
 
Kuna hilo puuzi moja hapo lenyewe limevalia utadhani lipo msikitini na linawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
punguza kula mavi ya binadamu
 
ko uislam umekukosea nn kuwa na staha mavaz n mavaz .
 
Mkuu huoni kuwa huyo ndiye aliye match na mwenyeji wake, rais?
Kaka kodi ya ikulu hiyo hapo
20250613_192216.jpg
 
Siku hizi naona udini upo waziwazi katika taifa letu hili hasa wakristo mnachhki chuki sana na waislam.

Wazari bashe alipokua anatoa taarifa yake ya kuzifungia malawi na South Africa alivaa kanzu kuna mtu mmoja alikuja na Uzi wa uliokwenda kuponda kwa nini alivaa kanzu na baraghasia wakati yeye ni waziri wa nchi sio kiongozi wa dini.

Kelele za uwekezaji dhidi ya warabu nyingi ni za udini tu wala sio mikataba wala nini.

Leo mwingine umekuja na hoja ya mavazi na tageti kubwa hiyo kanzu.

Naomba nikufahamishe wewe na wenzenu wenye rohombaya na vichuki chuki na uislamu.

Vazi la kanzu sio uislamu ni vazi lililovaliva enzi na enzi na mababu zetu hasa wa ukanda wa pwani kwa kifupi ni vali linaloheshimiwa na kuthaminiwa na wakazi wa pwani sio uislam kama mnavyozani ninyi.

Ukanda mwingine wanajaa kimasai, migolole na mikaniki tena ni mavazi rasmi ya kitamaduni na yana heshima zake hivyo tunaomba mliheshimu vazi hilo kama vazi rasmi la wakazi wa pwani na sio mnatuletea chuki zisizo na maana.
 
Back
Top Bottom