Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Kanzu alikuwa anavaa hadi Magufuli
Wakina Lisu, msukuma nk walikuwa/wanavaa bungeni

Halafu mgalatia mmoja mpumbavu anajifanya kanzu ni vazi la uislamu
wale walivaa ili kubalansi mambo, ni wanasiasa wanaongoza watu wa dini zote
 
Wewe ni takataka tu usiyejua lolote hata kwenye ugalatia wako

Watu wamevaa jinsi kisha wewe unaona kanzu

Kanzu ni vazi official sehemu yoyote
acha kutetea mavazi ya kipuuzi wakati vyuo vingi hakuna ruhusa kuvaa kanzu kiholela labda ukavae mrikitini
 
Dah wabongo asee mnashangaza sana. Swala hili lishakuwa la mabishano ya kidini! Dini zisitufarakanishe.
Nb. Kila mtu ana uhuru wa kuvaa atakavyo ili kustiri aibu ya mwili.
we nawe ni kenge tu, huwezi kuvaa mavazi upendavyo eti kujisitiri. Mavazi yanatafsiri nyingi unaweza kuonekana hata mwehu kama hutazingatia uvaaji mahsusi
 
Kuna hayo mapuuzi hapo yamevalia kanzu utadhani yapo msikitini na yanawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Nchi za kiarabu, kanzu ni vazi rasmi. Kama unaona suti za wazungu ni ruhusa, basi na kanzu hali kadhalika.
 
Wewe kiazi kumbe

Kasome miongozo sio unaleta hisia

Wanaenda nazo Bungeni ishindikane huko?
unaleta mavazi ya bungeni? Kule ni changanyikeni mtu anaweza akavaa hata mgolole na asihojiwe japo atashangaza kwa nini avae hovyo wakati uvaaji wa pale unafahamika ni mavazi ya aina gani yana heshima
 
Kitendo cha kufahamu kanzu ni vazi la msikitini inaonesha wewe ni ponjoro wa kiwango cha juu sana

Bora goli lingepigiwa nje tu
we ndio ponjoro halisi, unaona kabisa kanzu ni vazi la kiislam lakini unashupaza mshipa wa
 
Kuna hayo mapuuzi hapo yamevalia kanzu utadhani yapo msikitini na yanawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Kwa Hayo Mavazi Hata Ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Huingii.
⁵
 
Halafu mtu akivaa suti akaenda bar/kwa makaha a anaonekana kawaida tu

Kwa hiyo suti ni vazi la kihuni lisilofaa ikulu kwa mujibu wako

Hivyo watu wote ikulu wavae kanzu, vazi la heshima.

Bata wahed
elewa maana ya kuvaa mavazi staha kwa sehemu zake mpuuzi wee, wapi ulisoma, MUM au UDSM?
 
Hao Wapuuzi wamemuhiga Mpuuzi Yesu maana nae alikuwa na Upuuzi kama huo wa kuvaa makanzu

Wapuuzi sana hao waliovaa ki yesu yesu bora hao waliovaa kishoga shoga nguo ambazo hazina jinsia.
kanzu za wakati ule ndio ilikuwa mtindo uliokuwepo. Sasa hivi kuna code za mavazi, huwezi kujivalia mavazi tu kiholela yana tafsiri yake
 
Hata show ya jana hujaangalia ,Sisi watu wa pwani tulikuwa tunavaa hata kwenye vikao vya TANU ..Enzo hizi nyie bado mnavaa mjani huko ,so msitupangie kwa namna yeyote ile ,tena mkae kimya kenge nyie.View attachment 3368065
muelekeo wa siasa za nchi uliachana kabisa na elementi za udini baada ya uhuru. Mambo ya udiniudini yalipigwa marufuku uliza wajukuu wa wazee hawa. Unaleta udini udini zama hizi si utakuwa mwehu?
 
Hamna haki ya kutupangia ila sisi tuna haki ya kuwapangia ..Ukizitambua hizi protocol utakaa kimya.
protocol gani wakati udini haukubaliki hata kidogo? mtakemewa mpaka muone aibu na akili ziwakae sawa
 
muelekeo wa siasa za nchi uliachana kabisa na elementi za udini baada ya uhuru. Mambo ya udiniudini yalipigwa marufuku uliza wajukuu wa wazee hawa. Unaleta udini udini zama hizi si utakuwa mwehu?
Udini upi nyie mnajishtukia sana
 
Back
Top Bottom