Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,451
Sure mkuu.Suti Ni vazi la kishamba, mara nyingi huvaliwa na walioona mwanga ukubwani. Yaani ambao wakati wakiwa kwa wazazi wao walikua wanavaa masulupwete.
Sure mkuu.Suti Ni vazi la kishamba, mara nyingi huvaliwa na walioona mwanga ukubwani. Yaani ambao wakati wakiwa kwa wazazi wao walikua wanavaa masulupwete.
Dressing code situation ndio nini we mwalimu wa Sunday schoolnilijua mtaleta picha hizi kutetea mavazi ya kidini ya kiislam. Mnajua siri za kuvaa hivi? Sina haja ya kueleza. Je walivaa mavazi ya kiislam nyakati gani? Walijivalia tu? Muachage utetezi wa kijinga na jueni dressing code situation
Kanzu siyo uislam. Ni kwa sababu tu uislam ulianzia sehemu ambao wakazi wake wanavaa kanzu. Hata suti siyo ukristo. Waafrika tumechakachuliwa akili zetu.We ni mjinga Sanaa JPM hakuwahi kuvaa kanzu je ni muislamu ,Yale Maradhi matatu aliyekuwa anayazungumzia Mwalimu ndio haya sasa ,,,,ujingaaaa
👊Kanzu siyo uislam. Ni kwa sababu tu uislam ulianzia sehemu ambao wakazi wake wanavaa kanzu. Hata suti siyo ukristo. Waafrika tumechakachuliwa akili zetu.
We nichukulie simpo simpo 😅
Siku nikikutana na polisi wa dizaini hiyo basi hiyo ndiyo itakuwa mwisho wa maisha yake 😅.
Ila akienda nayo padri ikulu ni sawa eti? Embu punguza ujinga na chukiKuna hilo puuzi moja hapo lenyewe limevalia utadhani lipo msikitini na linawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Sawa James Bond 😆Siku nikikutana na polisi wa dizaini hiyo basi hiyo ndiyo itakuwa mwisho wa maisha yake 😅.
huyu ana chuki zake na uislamu mtu kama huyo ni madhara ya ujinga, unaanzaje kumchukia mtu kwa dini yake, halafu na yeye si aende akagombee uongozi yanga au simba kwani amekatazwaMkuu unajua kuna mavazi rasmi ya kiserikali na hayo unayoyasema vibaya yapo yanatambulika kabisa?
Kwa nini unaona mavazi hayo ni ya kihuni wakati hayo ni mavazi ya heshima kabisa?
Pia, utaonaje mavazi hayo ya kihuni wakati upande wa pili wa mavazi hayo, kwa wanawake, ndivyo alivyovaa rais?
Yani kweli kabisa umeona mavazi hayo ni ya kihuni kuliko huyo mtu aliyeingia Ikulu na blue jeans?
Mi ni balaa na naua ndiyo maana mods wananiogopa kama mzimu.Sawa James Bond 😆
Mkuu mbona ndiyo kazi zangu hizo - fanya tujuane.Mi ni balaa na naua ndiyo maana mods wananiogopa kama mzimu.
mavazi ya muhali na mukhtadha wake, uliwahi kuwaona mkapa na mbowe wamevaa kanzu na baraghashia kwenye baraza la iddi na wakati si waislam? Hiyo ndiyo dressing code situation mjubaDressing code situation ndio nini we mwalimu wa Sunday school
Basi kuanza Leo nitakuwa nakushirikisha katika plans zangu mkuu.Mkuu mbona ndiyo kazi zangu hizo - fanya tujuane.
Mi nachinja watu nauza moyo na figo - Soko langu kwasasa limekua mpaka India.
🤣🤣🤣mavazi ya muhali na mukhtadha wake, uliwahi kuwaona mkapa na mbowe wamevaa kanzu na baraghashia kwenye baraza la iddi na wakati si waislam? Hiyo ndiyo dressing code situation mjuba
Ingekuwa hairuhusiwi wasingeingia na mavazi hayo.Mipuuzi inakurupuka kwenda ikulu huku imevaa kipuuzi, hivi ikulu unaenda umevaa kama uko masjid, umevaa kanzu, kibaraghashia na kobazi, hii ni sawa au ni upuuzi tu? Kila sehemu ina dressing code yake, huwezi kujivalia mavazi tu kama mwendawazimu
Hao Wapuuzi wamemuhiga Mpuuzi Yesu maana nae alikuwa na Upuuzi kama huo wa kuvaa makanzuMipuuzi inakurupuka kwenda ikulu huku imevaa kipuuzi, hivi ikulu unaenda umevaa kama uko masjid, umevaa kanzu, kibaraghashia na kobazi, hii ni sawa au ni upuuzi tu? Kila sehemu ina dressing code yake, huwezi kujivalia mavazi tu kama mwendawazimu
Sasa wewe mvuja damu kati ya Ikulu na Masjid wapi ni mahari patakatifu?ijumaa ndio ukurupuke toka msikitini na mikanzu, baraghashia na kobazi hadi ikulu? Acheni ujinga heshimuni ikulu, vaaeni mavazi muafaka ikulu na sio mnajivalia tu na kukimbilia pale pahala pa heshima kuu nchini. Pale sio masjid