LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
sheikh povu la nini? Vaaeni mavazi muafaka sehemu zake, kanzu kavaaeni misikitiniWe utsishia na ualimu wako kwa ujinga wako
sheikh povu la nini? Vaaeni mavazi muafaka sehemu zake, kanzu kavaaeni misikitiniWe utsishia na ualimu wako kwa ujinga wako
nilijua mtaleta picha hizi kutetea mavazi ya kidini ya kiislam. Mnajua siri za kuvaa hivi? Sina haja ya kueleza. Je walivaa mavazi ya kiislam nyakati gani? Walijivalia tu? Muachage utetezi wa kijinga na jueni dressing code situationKanzu ni vazi la heshma hata Mwinyi,Nyerere,Mkapa,Kikwete,Magufuli walivaa tena ndani ya Ikulu.
View attachment 3367200
Sasa mbona Samia naye humkatazi kuvaa Kiislamu?sina hofu na uislam, kuvaa kanzu kama inavyoonekana pichani haipendezi katika nchi isiyoongozwa na itikadi ya dini ya kiislam. Kuna haja gani ya kuonekana we ni mfuasi wa dini ya kiislam ikulu kama si upuuzi?
Leo ni ijumaa.... Ni siku ya waislamu kuabudu. Kuwa na adabu PURU Moja wewe....sawa, sasa hapo kulikuwa na umuhimu gani kwenda na makanzu hayo ikulu? Kwani hapo ni masjid? Akili hawana, hapo si mahali pa kanzu, kanzu wakavae misikitini wapuuzi hao
jamii nyingi za pwani ni waswahili typically, hata uislam unajulikana bara ni dini ya waswahili. Utamaduni, mila na desturi za watu wa pwani ambao ndio waswahili umeunganishwa na uislam. Uislam ndio mila, desturi na tamaduni za watu wa pwani unatenganishwa na uzi mwembamba mno. Huwezi kusema yule anavaa kiislam tu, anavaa kimila za pwani, huo ni mtindo wa mavazi ya kipwani ambayo pia ni uislam typically, lakini kuna ubunifu wa mavazi ili kulinda mila, tamaduni na imani yake ya kidini, hapo hakuna shida akijitanda ushungiSasa mbona Samia naye humkatazi kuvaa Kiislamu?
ndio nyie mkitoka msikitini mbio mpaka studioni kutangaza vipindi vyenu redioni /tv huku mkiwa mmevaa kidini kana kwamba nchi ni ya kidini. Kuweni waastarabu kuvaa mavazi yanayostahili mahali na muda wakeLeo ni ijumaa.... Ni siku ya waislamu kuabudu. Kuwa na adabu PURU Moja wewe....
sawa, sasa hapo kulikuwa na umuhimu gani kwenda na makanzu hayo ikulu? Kwani hapo ni masjid? Akili hawana, hapo si mahali pa kanzu, kanzu wakavae misikitini wapuuzi hao mwenyeji wao avue ushungi avae kimi I na makwapa nje
25/06/2025 imekuvuruga sana.ijumaa ndio ukurupuke toka msikitini na mikanzu, baraghashia na kobazi hadi ikulu? Acheni ujinga heshimuni ikulu, vaaeni mavazi muafaka ikulu na sio mnajivalia tu na kukimbilia pale pahala pa heshima kuu nchini. Pale sio masjid
nani ana chuki na uislam sheikh? Mechi ilitakiwa ichezwe tarehe 15 juni, iweje isogezwe mbele?25/06/2025 imekuvuruga sana.
Mwambie na mwenyeji wao avue ushungi avae kimini na gauni la makwapa nje ili ufurahi.
Chuki dhini Waislamu na Uislamu utakusababishia ugonjwa wa moyo.
Ikulu ni sehemu ya Hata, na hao waliokwenda Ikulu ni Watanzania hakuna shida hapo,hata wwe kama una issue serious inakutatiza wwe ilete kwa Mama na itatutiliwa bila shida!!Kuna hilo puuzi moja hapo lenyewe limevalia utadhani lipo msikitini na linawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Kwasababu anapesa kuliko huyo unaemuamini.Leo viongozi wa Simba na Yanga wametembelea Ikulu ya Chamwino kuongea na mama Samia. Mavazi waliyovyaa ni ya kawaida tu na wengine wamevaa makoti, jinsi na shati bila kuchomekea +raba.
Nimejikuta nakumbuka Zelensky akipotembelea ikulu ya Marekani, waandishi wa habari na Wamarekani hawakuridhishwa na mavazi ya Zelensky kwani hakuvaa suti. Siku zote nilikuwa najua Wazungu wamerahisisha sana kuhusu mavazi lakini walipommaindi Zelensky ndipo nikagundua kumbe kuna mavazi ya hadhi kwa level fulani katika mazingira fulani mfano Ikulu.
Napendekeza, wageni wanaomtemblea rais Ikulu kama wageni rasmi wawe wanavaaa suti na viatu vya ngovi, hasa hawa wageni Watanzania kwa sababu wanakuwa na miadi na siyo kushtukizwa!
Au sisi tumeamua kupuyanga tu mana inaripotiwa kuna wabunge pia hawavai soksi. Kutokuvaa soski si mambo ya wale vijana mashorobaro au!
Nawasilisha
lakini sitavaa kipuuzi kama haoIkulu ni sehemu ya Hata, na hao waliokwenda Ikulu ni Watanzania hakuna shida hapo,hata wwe kama una issue serious inakutatiza wwe ilete kwa Mama na itatutiliwa bila shida!!
kanzu ni vazi la kiislam usibishe, wapi uliona kanzu inauzwa kiholela kama si misikitini?Aisee kama unachukia vazi la kanzu kwa ajili ya chuki zako kwa uislam nikupe pole sana maana umejidhalilisha sana upeo wako mdogo, kwa taarifa yako hata hapa Tanzania kuna baadhi ya makabila hata kwenye harusi unapewa vazi la kanzu kwa mwanaume kama ishara ya vazi la heshima haijalishi dini.
Mkuu unalotaka haliwezi kuwa kwasababu watanzania mmemeza dini sana.nilijua mtaleta picha hizi kutetea mavazi ya kidini ya kiislam. Mnajua siri za kuvaa hivi? Sina haja ya kueleza. Je walivaa mavazi ya kiislam nyakati gani? Walijivalia tu? Muachage utetezi wa kijinga na jueni dressing code situation
hao ni sahihi, ishu ni raia wa kawaida kuvaa mavazi yasiyostahili mahali nyetiMkuu unalotaka haliwezi kuwa kwasababu watanzania mmemeza dini sana.
Ndio maana padri,askofu,shehe,sister anaingia na mavazi yake Ikulu bila tabu.
Sasa gunia (kanzu) lina heshima gani, si vazi tu la mtaani kama kina Mama kuvaa khanga?We Matrako kweli ina maana kanzu ni vazi la kihuni? Looser!
Weka hoja acha matusiWe Matrako kweli ina maana kanzu ni vazi la kihuni? Looser!
Redio unayo??ndio nyie mkitoka msikitini mbio mpaka studioni kutangaza vipindi vyenu redioni /tv huku mkiwa mmevaa kidini kana kwamba nchi ni ya kidini. Kuweni waastarabu kuvaa mavazi yanayostahili mahali na muda wake