Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Leo viongozi wa Simba na Yanga wametembelea Ikulu ya Chamwino kuongea na mama Samia. Mavazi waliyovyaa ni ya kawaida tu na wengine wamevaa makoti, jinsi na shati bila kuchomekea +raba.

Nimejikuta nakumbuka Zelensky akipotembelea ikulu ya Marekani, waandishi wa habari na Wamarekani hawakuridhishwa na mavazi ya Zelensky kwani hakuvaa suti. Siku zote nilikuwa najua Wazungu wamerahisisha sana kuhusu mavazi lakini walipommaindi Zelensky ndipo nikagundua kumbe kuna mavazi ya hadhi kwa level fulani katika mazingira fulani mfano Ikulu.

Napendekeza, wageni wanaomtemblea rais Ikulu kama wageni rasmi wawe wanavaaa suti na viatu vya ngovi, hasa hawa wageni Watanzania kwa sababu wanakuwa na miadi na siyo kushtukizwa!

Au sisi tumeamua kupuyanga tu mana inaripotiwa kuna wabunge pia hawavai soksi. Kutokuvaa soski si mambo ya wale vijana mashorobaro au!

Nawasilisha
Hao unaotuonesha si wageni rasmi, wageni rasmi hupigiwa nyimbo za mataifa yao wapokelewapo ikulu.
 
Kuna hilo puuzi moja hapo lenyewe limevalia utadhani lipo msikitini na linawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Wewe ndio mpuuzi uliojificha kwenye udini wa dini yako na kuwakataa wa dini nyingine.

Kanzu ni vazi rasmi ambalo popote unaenda nayo bila shida

1. Vyuoni zinaruhusiwq
2. Kazini inaruhusiwa ijumaa
3. Bungeni inaruhusiwa
4. Hata kwako inaruhusiwa pia

Acha udini kiazi wewe,
 
sawa, sasa hapo kulikuwa na umuhimu gani kwenda na makanzu hayo ikulu? Kwani hapo ni masjid? Akili hawana, hapo si mahali pa kanzu, kanzu wakavae misikitini wapuuzi hao
Wapi imeandikwa kanzu ni vazi la masjid?

Wewe ni mgalatia mpumbavu

Masister wanavaa mavazi yao ya kidini muda wote na sehemu yoyote na sidhani kama umewahi kuhoji

Mtu akivaa kimini au kibukta inaonekana sawa ila kanzu ndio Shida
 
hao waliovaa kikobazi walijua watampendezesha mwenyeji wao na itaonekana hakuna shida kuvaa vile. Huo si uvaaji wa ikulu. Hawa wasipokemewa hata wahuni wengine watapata ualiko ikulu na watavaa kihuni kana kwamba wanaenda kwenye matukio yao ya kipuuzi
Kanzu alikuwa anavaa hadi Magufuli
Wakina Lisu, msukuma nk walikuwa/wanavaa bungeni

Halafu mgalatia mmoja mpumbavu anajifanya kanzu ni vazi la uislamu
 
ijumaa ndio ukurupuke toka msikitini na mikanzu, baraghashia na kobazi hadi ikulu? Acheni ujinga heshimuni ikulu, vaaeni mavazi muafaka ikulu na sio mnajivalia tu na kukimbilia pale pahala pa heshima kuu nchini. Pale sio masjid
Wewe ni takataka tu usiyejua lolote hata kwenye ugalatia wako

Watu wamevaa jinsi kisha wewe unaona kanzu

Kanzu ni vazi official sehemu yoyote
 
Dah wabongo asee mnashangaza sana. Swala hili lishakuwa la mabishano ya kidini! Dini zisitufarakanishe.
Nb. Kila mtu ana uhuru wa kuvaa atakavyo ili kustiri aibu ya mwili.
 
nani alipitisha muongozo huo wa kuvaa kanzu ikulu kama si kwa maslahi ya imani yake ya kidini? Kama ni hivyo basi wapuuzi wengine nao wakipata mualiko ikulu watavaa kipuuzi kulingana na upuuzi wao. Vazi la msikitini unavalia kwenye ofisi ya umma, are you serious?
Kitendo cha kufahamu kanzu ni vazi la msikitini inaonesha wewe ni ponjoro wa kiwango cha juu sana

Bora goli lingepigiwa nje tu
 
sishangai kwani jamii zetu za pwani zinanasibisha kanzu kama ni vazi la mila na desturi zao nje na uislamu, lakini kanzu ni vazi la dini ya kiislam. Kama unabisha vaa kanzu yako safi halafu nenda baa ukanywe pombe au nenda kwenye kwenye vikundi fulani kama vya makahaba au karekodie maigizo yenye maudhui yasiyo ya kiislam uone jinsi waislam watakavyo shikwa na jazba na munkari kutaka kudhuru mtu. Acheni kuvaa mavazi ya hovyo sehemu nyeti
Halafu mtu akivaa suti akaenda bar/kwa makaha a anaonekana kawaida tu

Kwa hiyo suti ni vazi la kihuni lisilofaa ikulu kwa mujibu wako

Hivyo watu wote ikulu wavae kanzu, vazi la heshima.

Bata wahed
 
We ni mjinga Sanaa JPM hakuwahi kuvaa kanzu je ni muislamu ,Yale Maradhi matatu aliyekuwa anayazungumzia Mwalimu ndio haya sasa ,,,,ujingaaaa
nani alipitisha muongozo huo wa kuvaa kanzu ikulu kama si kwa maslahi ya imani yake ya kidini? Kama ni hivyo basi wapuuzi wengine nao wakipata mualiko ikulu watavaa kipuuzi kulingana na upuuzi wao. Vazi la msikitini unavalia kwenye ofisi ya umma, are you serious?
 
Punguza makasiriko.. ukiachana tu historia ya hizo timu na uislam, huyo alievaa kanzu ndio kavaa kiheshima kuliko wote.. ujui historia ya hizo timu na uislam wewe utakuwa wa mbwinde
Kavaa kiheshima kwa mila za wapi? Hata kuvaa suti siyo heshima kwa mila za sehemu nyingine. Sisi waafrika tumekuwa brain-washed na mila za kizungu na kiarabu mpaka tumefikia hatua ya kudhani kuvaa mitindo ya kiarabu au kizungu ndiyo heshima!
 
Mahali hadi vikao vya CCM vinafanyika, unashangaa watu wakienda wamevaa jeans...
 
Back
Top Bottom