Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

Mtindo wa Mavazi kwa Wageni Rasmi wa Ikulu ya Tanzania

huyu ana chuki zake na uislamu mtu kama huyo ni madhara ya ujinga, unaanzaje kumchukia mtu kwa dini yake, halafu na yeye si aende akagombee uongozi yanga au simba kwani amekatazwa
mkishapata uongozi muache kuvaa mikanzu kujionesha ni waislam, kavalieni misikitini
 
Kuna hilo puuzi moja hapo lenyewe limevalia utadhani lipo msikitini na linawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
Hizo nguo ni za waarabu sio waislamu wote ,angalia hata kwenye matamasha ya muziki wanavaa ..Yule kusaga anavaa sana tena ni vazi lake pendwa....
 
Siku hizi naona udini upo waziwazi katika taifa letu hili hasa wakristo mnachhki chuki sana na waislam.

Wazari bashe alipokua anatoa taarifa yake ya kuzifungia malawi na South Africa alivaa kanzu kuna mtu mmoja alikuja na Uzi wa uliokwenda kuponda kwa nini alivaa kanzu na baraghasia wakati yeye ni waziri wa nchi sio kiongozi wa dini.

Kelele za uwekezaji dhidi ya warabu nyingi ni za udini tu wala sio mikataba wala nini.

Leo mwingine umekuja na hoja ya mavazi na tageti kubwa hiyo kanzu.

Naomba nikufahamishe wewe na wenzenu wenye rohombaya na vichuki chuki na uislamu.

Vazi la kanzu sio uislamu ni vazi lililovaliva enzi na enzi na mababu zetu hasa wa ukanda wa pwani kwa kifupi ni vali linaloheshimiwa na kuthaminiwa na wakazi wa pwani sio uislam kama mnavyozani ninyi.

Ukanda mwingine wanajaa kimasai, migolole na mikaniki tena ni mavazi rasmi ya kitamaduni na yana heshima zake hivyo tunaomba mliheshimu vazi hilo kama vazi rasmi la wakazi wa pwani na sio mnatuletea chuki zisizo na maana.
Wajinga hawa wanataka suti za bwana zao ..
 
mkishapata uongozi muache kuvaa mikanzu kujionesha ni waislam, kavalieni misikitini
Suti nazo kafisheni maiti zenu mkazike..Tutaendelea na mavazi yetu mpaka tupate uhuru kamili ,sisi ni sehemu za Zanzibar.
 
Suti nazo kafisheni maiti zenu mkazike..Tutaendelea na mavazi yetu mpaka tupate uhuru kamili ,sisi ni sehemu za Zanzibar.
ni waswahili, mmechanganya mavazi ya kiislam na kiswahili. Ni vema msioneshe mna dini sana sehemu za umma usioongozwa na dini fulani. Hizo kanzu ni masheikh tu ndio wanaweza kwenda nazo ikulu
 
ni waswahili, mmechanganya mavazi ya kiislam na kiswahili. Ni vema msioneshe mna dini sana sehemu za umma usioongozwa na dini fulani. Hizo kanzu ni masheikh tu ndio wanaweza kwenda nazo ikulu
Usitupangie nn cha kufanya unless hatujakugusa.
 
Hizo nguo ni za waarabu sio waislamu wote ,angalia hata kwenye matamasha ya muziki wanavaa ..Yule kusaga anavaa sana tena ni vazi lake pendwa....
utasema diamond naye anavaa kanzu, ule ni mtindo wa afrika magharibi hasa nigeria, ghana, benin, ivory coast, senegal, gambia na wenzao wa huko huvaa vile, tunaita mavazi ya kinigeria. Sasa hawa walioenda ikulu wamevaa upuuzi gani kama si kanzu za kiislam mjuba?
 
mkishapata uongozi muache kuvaa mikanzu kujionesha ni waislam, kavalieni misikitini
Kanzu ni vazi la staha tu hata watu wa dini nyingine hupenda kuvaa halafu unamchukiaje mtu kwa kuvaa staha? Au kisa dini yake ? Mimi kusema ukweli nimesoma catholic school na tumeishi vizuri na ndugu zangu wa dini nyingine, napata shida na watu wanaoleta chokochoko za kidini maana hata hufanyaje dunia inataka tuishi pamoja kwahiyo hatuna jinsi lazima tupendane na tuvumiliane ili tuishibkwa amani na kustarehe
 
utasema diamond naye anavaa kanzu, ule ni mtindo wa afrika magharibi hasa nigeria, ghana, benin, ivory coast, senegal, gambia na wenzao wa huko huvaa vile, tunaita mavazi ya kinigeria. Sasa hawa walioenda ikulu wamevaa upuuzi gani kama si kanzu za kiislam mjuba?
Hata show ya jana hujaangalia ,Sisi watu wa pwani tulikuwa tunavaa hata kwenye vikao vya TANU ..Enzo hizi nyie bado mnavaa mjani huko ,so msitupangie kwa namna yeyote ile ,tena mkae kimya kenge nyie.
1000093231.png
 
Kanzu ni vazi la staha tu hata watu wa dini nyingine hupenda kuvaa halafu unamchukiaje mtu kwa kuvaa staha? Au kisa dini yake ? Mimi kusema ukweli nimesoma catholic school na tumeishi vizuri na ndugu zangu wa dini nyingine, napata shida na watu wanaoleta chokochoko za kidini maana hata hufanyaje dunia inataka tuishi pamoja kwahiyo hatuna jinsi lazima tupendane na tuvumiliane ili tuishibkwa amani na kustarehe
wapi umeona nina chuki na dini? Ishu hapa ni aina ya mavazi ya kuvaa mahali muafaka sheikh. Unaitwa ikulu basi ndio uvae kanzu kwa kuwa we ni muislam? Sheikh avae kanzu maana ni vazi lake muda wote hata akienda ikulu anajulikana ni sheikh, sio wapuuzi kama hawa mnaowatetea, wamekosea, hata hao waliovaa majinsi nao wamekosea sheikh, hakuna mtu mwenye chuki na dini
 
zelensky alizodolewa kwa kuingia white house bila blue suit, sasa sie kuna siku giggy money ataingia na chupi, nyie ngojeni
 
jamii nyingi za pwani ni waswahili typically, hata uislam unajulikana bara ni dini ya waswahili. Utamaduni, mila na desturi za watu wa pwani ambao ndio waswahili umeunganishwa na uislam. Uislam ndio mila, desturi na tamaduni za watu wa pwani unatenganishwa na uzi mwembamba mno. Huwezi kusema yule anavaa kiislam tu, anavaa kimila za pwani, huo ni mtindo wa mavazi ya kipwani ambayo pia ni uislam typically, lakini kuna ubunifu wa mavazi ili kulinda mila, tamaduni na imani yake ya kidini, hapo hakuna shida akijitanda ushungi
Hii point ina contradict maneno yako yote ya awali.

Sasa kama huwezi kusema yule kavaa Kiislam tu, kuna mambo ya mila na utamaduni wa watu wa pwani, utasemaje hao wengine wamevaa kiislam na si kiutamaduni wa watu wa pwani?

Nilitaka kukwambia point hii ila nikaona hufuati logic unafuata emotions zako za chuki dhidi ya hawa watu na tamaduni zao, so it was pointless raising a point of logic to you.

You are contradicting yourself ridiculously.
 
huyu ana chuki zake na uislamu mtu kama huyo ni madhara ya ujinga, unaanzaje kumchukia mtu kwa dini yake, halafu na yeye si aende akagombee uongozi yanga au simba kwani amekatazwa
Huyu hajui kuwa Sheikh Francis Mponjoli Mwakalukwa Kifukwe alikuwa anavaa kanzu bila hata ya kuwa Muislamu.

Kama hata anamjua Kifukwe ni nani.
 
Huyu hajui kuwa Sheikh Francis Mponjoli Mwakalukwa Kifukwe alikuwa anavaa kanzu bila hata ya kuwa Muislamu.

Kama hata anamjua Kifukwe ni nani.
hakuna contradiction msije mkasema huo ni utamaduni wa pwani wakati kimkhtadha hao wamevalia kiislam kabisa hakuna ubishi hapa. Hoja ni kwamba kwa nini mtu avae kidini kwani yeye ni sheikh au amevaa kimaksudi ili tu kupromoti imani ya dini yake mpaka ikulu? Huu ni ujinga kwa nchi inayojinasibu ni ya kisekula. Udini ulishakemewa sana katika mambo ya umma. Mkiambiwa si jambo zuri kuingiza udini ofisi za umma povu linawatoka. We kiranga unajulikana humu huna dini kumbe ni muislam typically, unatetea upuuzi wa kuvaa hovyo ikulu bila haya
 
Siku hizi udini umekuwa freely, watu wanavaa midabwada yao ya kidini bila aibu wanajua hakuna wa kuwakemea. Raia tu kajamba nani umeitwa ikulu utaendaje na misabwanda yako ya kidini ili tu uonekane unaipenda dini yako?
 
hakuna contradiction msije mkasema huo ni utamaduni wa pwani wakati kimkhtadha hao wamevalia kiislam kabisa hakuna ubishi hapa. Hoja ni kwamba kwa nini mtu avae kidini kwani yeye ni sheikh au amevaa kimaksudi ili tu kupromoti imani ya dini yake mpaka ikulu? Huu ni ujinga kwa nchi inayojinasibu ni ya kisekula. Udini ulishakemewa sana katika mambo ya umma. Mkiambiwa si jambo zuri kuingiza udini ofisi za umma povu linawatoka. We kiranga unajulikana humu huna dini kumbe ni muislam typically, unatetea upuuzi wa kuvaa hovyo ikulu bila haya
Ni utamaduni wa pwani au uislamu? Mbona unajichanganya hueleweki?

Kwa nini huwezi kujadili hoja kidhahania tu bila kuhusisha personality na kufanya ad hominem logical fallacy kuhusu mimi kuwa muislamu?

You are pouting an ad hominem fallacy.
 
Back
Top Bottom