26 Life
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 828
- 1,233
Nimepewa kazi ya Figo 60 before wednesday - Nakutumia Ticket uingie kesho by 1100HRS.
Nimepewa kazi ya Figo 60 before wednesday - Nakutumia Ticket uingie kesho by 1100HRS.
hapana, huwezi kunitoa kwenye hoja yangu kirahisi hivi. Hoja kuu ni mavazi yenye staha ikulu, unawezaje kwenda ikulu umevaa kiholela mradi ni mavazi tu? Mimi nikaja na hoja ya mavazi ya kidini kwa hao viongozi wa timu si vema kujionesha wao ni waislam katika mambo yanayojumuisha wananchi wote. Ingekuwa ni zanzibar hapo ingekuwa sawa tu maana huko kuna uislam mwingi sana mpaka ikuluNi utamaduni wa pwani au uislamu? Mbona unajichanganya hueleweki?
Kwa nini huwezi kujadili hoja kidhahania tu bila kuhusisha personality na kufanya ad hominem logical fallacy kuhusu mimi kuwa muislamu?
You are pouting an ad hominem fallacy.
Fanya kweli mkuu 😎.Nimepewa kazi ya Figo 60 before wednesday - Nakutumia Ticket uingie kesho by 1100HRS.
sio lazima uvae suti ukiitwa ikulu cha msingi vaa vizuri mavazi yasiyoleta maswali. Unavaa kanzu halafu we sio sheikh, hapo unaonesha nini kama si udini?SUTI BILA AKILI NI MALAPU MALAPU TU
Hadi papa anavaa kanzusawa, sasa hapo kulikuwa na umuhimu gani kwenda na makanzu hayo ikulu? Kwani hapo ni masjid? Akili hawana, hapo si mahali pa kanzu, kanzu wakavae misikitini wapuuzi hao
Huyu jamaa kajibwaga uko na rais unashika sim 😄Kaka kodi ya ikulu hiyo hapo
View attachment 3367166
Kuna hayo mapuuzi hapo yamevalia kanzu utadhani yapo msikitini na yanawakilisha timu ya kiislam. Tunasema mara kwa mara kwa nini timu hizi huwa zina elementi za kiislam wakati hizi ni timu za watanzania wote wanazishabikia? Halafu hapo ni ikulu na hayo si mavazi staha ya kwenda nayo ikulu
tunapenda shobo za kuiga wamagharibiKwa Afrika kuivaa suti inaonekana ndiyo heshima.
nani anateseka kenge wewe?unateseka ukiwa wapi?
papa ndiyo mavazi yake rasmi mjuba, unataka kusema hao wapuuzi waliotinga ikulu na kanzu ni masheikh?Hadi papa anavaa kanzu
Kaaafirrrrmuachage ujinga wapuuzi nyie mlidhani hapo ni msikitini? Vaaeni mavazi yenye staha na mahali hapo
kobaaaziiiiKaaafirrrr
potential spermA wasted sperm!
ndio wavae kiislam?Matajiri kama GSM hawavai suit
umevimbiwa vyakula gani unajamba hivi? Unaambiwa hilo ni vazi la kiislam acha ubishi we kobaziWewe ndio mpuuzi uliojificha kwenye udini wa dini yako na kuwakataa wa dini nyingine.
Kanzu ni vazi rasmi ambalo popote unaenda nayo bila shida
1. Vyuoni zinaruhusiwq
2. Kazini inaruhusiwa ijumaa
3. Bungeni inaruhusiwa
4. Hata kwako inaruhusiwa pia
Acha udini kiazi wewe,
masista zile nguo zao rasmi hata wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida huwezi kufananisha na hawa wahuni walioamua kwenda ikulu na kanzuWapi imeandikwa kanzu ni vazi la masjid?
Wewe ni mgalatia mpumbavu
Masister wanavaa mavazi yao ya kidini muda wote na sehemu yoyote na sidhani kama umewahi kuhoji
Mtu akivaa kimini au kibukta inaonekana sawa ila kanzu ndio Shida