mto

Mto wa Mbu is an administrative ward in the Monduli district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward had a total population of 11,405. The name Mto wa Mbu means " Mosquitoes' River ". Mto wa Mbu has an area of 3,600 square kilometres (1,400 sq mi) of which 1,800 square kilometres (690 sq mi) is for cultivation.
Mto wa Mbu is estimated to be in the midway between the neighbouring Karatu and Makuyuni towns. It is one of the towns in the rift valley in the northern part of Tanzania. It close to lake Manyara and Manyara national park. The town of Mto wa Mbu features lodges, rest houses and camp sites for tourists who visit Lake Manyara and Manyara national park.
Banana is the common and largest agricultural product in the town and the surrounding area.
Mto wa Mbu is can be reached by driving from Arusha. It is approximately 112 km from Arusha city and the road is well repaired with tarmac. Tourists vehicles from Arusha, Nairobi, Moshi and Babati always passes through this town on the way to Ngorongoro crater and Serengeti national park.

View More On Wikipedia.org
  1. DAWASA yakanusha taarifa za upungufu wa Maji Mto Ruvu

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa hali ya maji katika Mto Ruvu ni ya kutosha, hivyo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wasiwe na hofu ya upungufu wa maji. Mhandisi Bwire ameyasema hayo leo, Machi 11...
  2. Pre GE2025 Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525

    Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo (Makurunge), Saadani, na Tanga Pangani. Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani utagharimu shilingi bilioni 107 hadi kukamliika kwake, na litakuwa na urefu wa mita 525. Soma: Miradi kuelekea...
  3. Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

    RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange...
  4. Ronald De La Bere Barker 1889-1965. Mzungu aliyeishi kwenye mapori ya mto Rufiji.

    Simulizi hizi unaweza kuzisoma Bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo Playstore. Huyu mzungu alizaliwa huko New Zealand. Baadaye akaja kuishi kwenye mapori ya mto Rufiji akiwa muwindaji. Majina yake mengine ni Mzee Rufiji au Mtawa maporini. Aliandika vitabu vinne vya kuchekesha sana juu ya...
  5. Walimu mwenye PDF ya mtokeo ya written interview ya Kiingereza

    kwema wakuu, kama mada inavojielza mwenye pdf naomba aweke hapa ili tujue tmepata ngap ingawa kwenye account nishakuta NOT SELECTED
  6. Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu yasafisha Mto Ngerengere kuondoa matope na uchafu

    Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, wameanza zoezi la kufukua Mto Ngerengere katika eneo la Mazimbu Manispaa ya Morogoro. Akizungunza wakati wa zoezi hilo Afisa wa Maji Bonde la Wami Ruvu Kidakio cha Ngerengere, Mhandisi Nangu Makula amesema zoezi hilo litaenda umbali wa mita 900 kutoka Mazimbu...
  7. Fun fact: Mto Tshuapa, mto mweusi zaidi duniani

    Real Rio Negro.
  8. DC Wilman Ndile: Kama kuna Wananchi hawajalipwa fidia ya kuhama Bonde la Mto Ruhila waje ofisini milango ipo wazi

    Uongozi wa Wilaya umetoa maelezo kuhusu madai ya kuwepo kwa Wananchi ambao hawajalipwa fidia ya kuhama katika Bonde la Mto Ruhila ambapo wametakiwa kuhama ili kupisha sehemu hiyo ya hifadhi. Mdau wa JamiiForums alidai Wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile...
  9.  DC Busega: Madai ya Mgodi wa Dhahabu kutiririsha maji yenye sumu kwenye mto lilifanyiwa kazi

    Serikali imezungumzia suala la madai ya Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu kulalamikia changamoto ya Mgodi wa Dhahabu wa EMJ kwamba unamwaga maji yanayodaiwa kuwa na sumu kwenye mto. Mgodi huo ambao unamilikiwa na Mzawa pamoja na raia wa kigeni...
  10. B

    KERO Wanaofanya uvuvi Mto Ngerengere eneo la Tungi na Kihonda wawe makini, kuna mashimo yaliyochimbwa wakati wa ujenzi wa SGR yana kina kirefu

    Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda. Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
  11. M

    Kitendo cha Wananchi kugoma kuhama katika chanzo cha maji Bonde la Mto Ruhila na kuwafukuza Mgambo kwa Mapanga si dalili nzuri

    Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya kulipwa fidia. Kuna sababu mbalimbali walizozitoa kwanini wanaendelea kutumia maeneo hayo kwa matumizi...
  12. K

    DOKEZO Simiyu: Serikali itusaidie, Mgodi wa Dhahabu EMJ unatiririsha maji yanayodaiwa kuwa na ‘sumu’ katika mto

    Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums. Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu unaitwa EMJ, unamilikiwa na kiongozi mmoja wa CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC) anaitwa Gungu Silanga...
  13. Waziri Mavunde Asimamisha Uchimbaji Madini kwenye Mto Zila Kijiji cha Ifumbo, Wilayani Chunya - Mbeya

    WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYA ▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC ▪️ Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira...
  14. Hofu ya mto unapoingia baharini

    Wajuvi wanasema kwamba kabla ya kuingia baharini, mto unatetemeka kwa hofu; unatazama nyuma katika safari nzima, vilele na milima ulikopitia, barabara ndefu na yenye kupindapinda iliyovuka kati ya misitu na miji, na mwishowe unaona mbele yake bahari kubwa sana hivi.. Kiasi kwamba kuingia ndani...
  15. A

    Udogo wa daraja la mto mzinga ambalo ni kiunganishi muhimu kwa wilaya ya temeke na mkuranga, vipi mamlaka zetu hazioni?

    Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga. Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo. Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu. Ni ombi langu hili...
  16. B

    KERO Mto Ngerengere – Morogoro uchimbwe ili kuondoa taka zilizojaa, wakati wa mvua maji yanaingia mitaani

    Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, jamani mtaani kwetu huku kumekuwa na changamoto ya mto kujaa na kufurika maji hasa kipindi cha mvua hali inayosababisha maisha ya watu kuwa hatarini. Wanaokuwa hatarini zaidi ni Wanafunzi wa Shule za Msingi...
  17. DOKEZO Bonde la Mto Msimbazi - Dar limeanza kuwa dampo, siyo jambo zuri kwa Afya ya Wakazi wa Vingunguti

    Katika pitapita za kila siku mtaani, hivi karibuni nilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa Bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali ya hatari kwa afya. Kiukweli mambo si shwari katika eneo hili, hasa usalama wa afya kwa wakazi waliozunguka eneo hilo. Kingo za mto huo zimegeuka kuwa...
  18. Mwili wa mtu mmoja waokotwa mto msimbazi

    Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika amekutwa amefariki dunia katika Daraja la Mto Msimbazi mpakani mwa Msimbazi Centre na Kigogo. Sababu zilizosababisha kifo chake bado hazijafahamika na tayari Polisi wameuchukua mwili huo ambao ulikuwa umeanza kuharibika kwa ajili ya uchunguzi.
  19. S

    Miradi inayofunguliwa Zanzibar na kukamilika ni Mingi kuliko Tanganyika kuanzia 2020s

    Kama upo makini na ufatiliaji wa maendeleo ya Tanzania basi utagundua kwa hiki kipindi ni kama kuna uzinduliwaji na ujengwaji wa miradi Mingi kwa kasi upande wa Unguja na Pemba nitainisha kwa kutaja sekta nne katika Mengi yaliyofanywa Na Raisi wetu Mpendwa Dkt. Hussein Mwinyi. Kuna miradi Mingi...
  20. Tanzania, Malawi na Msumbiji waingia makubaliano mto Ruvuma

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso waziri mwenyeji wa umoja wa nchi tatu zinazonufaika na Mto Ruvuma Tanzania, Malawi na Mozambique ameongeza Mkutano na Hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano ya Usimamizi na Uendelezaji wa Rasilimali za maji za Mto Ruvuma kwa nchi za Tanzania, Malawi na Msumbiji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…