Mto wa Mbu is an administrative ward in the Monduli district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward had a total population of 11,405. The name Mto wa Mbu means " Mosquitoes' River ". Mto wa Mbu has an area of 3,600 square kilometres (1,400 sq mi) of which 1,800 square kilometres (690 sq mi) is for cultivation.
Mto wa Mbu is estimated to be in the midway between the neighbouring Karatu and Makuyuni towns. It is one of the towns in the rift valley in the northern part of Tanzania. It close to lake Manyara and Manyara national park. The town of Mto wa Mbu features lodges, rest houses and camp sites for tourists who visit Lake Manyara and Manyara national park.
Banana is the common and largest agricultural product in the town and the surrounding area.
Mto wa Mbu is can be reached by driving from Arusha. It is approximately 112 km from Arusha city and the road is well repaired with tarmac. Tourists vehicles from Arusha, Nairobi, Moshi and Babati always passes through this town on the way to Ngorongoro crater and Serengeti national park.
Nataka niongee kwa hasira kali na leo Mod naomba mnivumilie lugha yangu. Hapa bongo kuna mambo ya kikhanithi yanaendelea sana na matokeo yake wananchi tunapata shida kwa sababu ya ukhanithi wa watu wachache.
Leo Nipashe wametoa taarifa kuwa kuna mchina amekamatwa anachepusha maji ya mto ruvu...
#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa.
=====...
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita 25 kwa 20 kilichopo Mabwe Pande karibu na mto Mpiji kwa Tsh 5M. Umeme upo tayari kiwanjani na pia Kiwanja hiki hakijapimwa. Nipigie 0736770052
Nchii hii Kuna mikoa imejaaliwa maji na ukijani wa kufa mtu, mikoa inayopatikana katika nyanda za juu Mara nyingi unakuwa na vyanzo vingi vya maji yaani Mito, kwa leo labda tuangalie mikoa ya nyanda za juu kusini na mikoa ya nyanda za juu kaskazini. Naomba kuuliza mikoa ipi Ina Mito na vyanzo...
kwa mda mrefu jiji la Dar hukumbwa na mafuriko katika mto msimbazi yanayopelekea nyumba kadhaa kando kando ya mto msimbazi kuzingirwa na maji huku baadhi ya barabara kama magomeni eneo la jangwani kutopitika.
inashangaza kuona serikali inapanga kujenga daraja jangwani kama ndiyo suluhisho la...
Habari wakuu.
Hapa nazungumzia ukubwa kwa kiasi cha maji yanayotiririka.
Hadi sasa nilikuwa naamini Rufiji ndiyo mkubwa, sasa nimekutana na takwimu zikisema mtiririko wa mto Rufiji ni kama wastani wa mita za ujazo 413 kwa sekunde. Wakati Ruvuma ni 475.
Sina imani sana na data hizi, kwa...
Huu mto Ndumbwi ndio mto unaoingia Bahari ya Hindi Sambamba na nyumba ya marehemu Gertrude Lwakatare. Ukingoni mwa mto huu karibu na nyumba hiyo vilibuniwa viwanja na matapeli wa ardhi wilaya ya Kinondoni na Kuwauzia watu walioanza kujenga kinyume na sheria za nchi kuhusu Mazingira.
Kilio cha...
Nilipoona tu tamko la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likisema kuwa haliwezi Kuingilia kati Mgogoro wa Matumizi ya Maji ya Mto Nile kati ya nchi za Misri na Ethiopia kwakuwa inajua kuwa Misri ina uhalali wa 87% ya Maji ya Mto huo nimeshtuka na kuwa na maswali mengi mno.
Hivi ni lini...
Wana Jukwaa nguli,
Gari limeshindwa kuvuka mto kwenda kanaani baada ya daraja kukatika kwa maji ya mvua iliyonyesha ghafla. Dereva anageuza gari kurejea Misri ambako uhuru na starehe zote zipo. Abiria ndani ya gari wanahoji tunaenda wapi? Dereva na konda wanajibu si mmedai mtakula wapi...
Salaam. Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Pwani, Yudas Msangi amesema daraja jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 linalounganisha miji ya Chalinze na Segera mkoani Tanga litakamilika Septemba mwaka huu.
Msangi ameyasema hayo leo Aprili 24, wakati akimpa taarifa Naibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.