mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Nataka nikamuoe mtoto wa mwenyekiti kiti pale machame Hai je mimi kapuku inawezekana?

    Wakuu nataka nijitose nikamuoe mtoto wa mwenyekiti pale machame ila hofu yangu kubwa je mimi kapuku inawezekana? Mimi mtumishi wa tamisemi kweli ninaza kwenda kumuoa yule mtoto? Na hiyo ndiyo ndoto yangu ya kila siku aiseee kwa sababu najua nikimuoa yule mimi umasikini bye bye na hakika...
  2. Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi.

    Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa... Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka ufanye usafi🙌🏿😀 Hebu rudi kulala, mkumbatie na kuengemee💕
  3. Mda wa mtoto kuwa shule upunguzwe

    Mda ambao mtoto anautumia kuwa shule ni mda mwingi mno. Namaanisha ni ile anaenda shule saa 11 asubuhi alafu anarudi saa 11 jioni, kuanzia Jumatatu mpaka ijumaa,. Hii inapelekea mtoto kukosa malezi bora ya mzazi na kutengeneza jamii isio na maadili mema. Au kama ni ngumu kupunguza mda wa...
  4. Naomba Ushauri mtoto awe "anapata ufaulu mzuri" Je, nifanyaje?

    Naomba kujua kutoka kwa wazazi wenzangu ambao watoto wenu wanapata matokeo bora, siri ama mbinu gani mnatumia hapo nyumbani mtoto afaulu? Nawasilisha
  5. Historia fupi ya mwaka 2006-2008 Mpenzi wangu Akiwa analea Mtoto Akawa Anafanya Uzinzi

    Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori. Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
  6. Mume aliniacha nimefungua Biashara ila nina Mwanaume mwiangine naye kaniletea mtoto!

    Mume aliniacha nimefungua Biashara ila nina Mwanaume mwiangine naye kaniletea mtoto! Hello, kaka Iddi. Habari ya kazi? Naomba ushauri nisiendelee kuharibu zaidi. Niliolewa ndoa ya Kikatoliki, nikazaa na mume wangu watoto watatu. Maisha hayakuwa mazuri sana kwa sababu ya changamoto za...
  7. Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  8. G

    Ni umri gani mtoto apewe simu ya kitochi cha mawasiliano? Ni umri upi apewe smartphone yenye internet?

    Toa pendekezo, sababu, elimu na tahadhari Kuanzia umri gani mtoto apewe kitochi cha kuwasiliana N umri upi apewe smartphone
  9. Ni Kazi gani ambazo hutaki mtoto wako aje kufanya.??

    Habari wanaJF Bila kupoteza muda hizi ndyo kazi ambazo sitamani kabisa mwanangu aje kuzifanya hata kama zina pesa nyingi. 1.Polisi 2.Barmaid 3.Muigizaji(Kwa mtoto wa Kike) 4.Secretary wa MaBoss 5.Jaji/Hakimu 6.Referree 7.Usalama 8.Mhudumu wa Ndege n.k Ongezea zako mdau hata km ww...
  10. Guinea: Baltazar na Watumishi wa Umma walioshiriki naye Ngono ofisini kufukuzwa kazi

    Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la...
  11. Mbio za Mtoto ni Mboni Yangu kufanyika Novemba 23, 2024, Zanzibar

    Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni MboniYangu inatarajiwa kuanza Novemba 23, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa kushirikiana na taasisi ya Ndoto Ajira Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto dhidi ya Ukatili...
  12. Mtoto wa kike akifikisha umri upi wewe kama baba hupaswi kumpakata?

  13. Jina la mtoto limekosewa kwenye matokeo ya darasa la saba, msaada wa nini chakufanya

    Salaam wanajukwaa la sheria. Nina changamoto hiyo hapo juu, nimeileta jukwaa hili kupata ushauri wa nifuate utaratibu gani mwanangu aanze kidato cha kwanza na jina lake lilolopo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Limekosewa herufi mbili hivyo naona kabisa ataingia nalo form one na litakuja...
  14. Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan na dili la Juventus Academy Tanzania

    Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema: Juventus Academy Tanzania inalenga kusaidia vijana wenye vipaji vya soka kwa kutumia mbinu za mafunzo za Juventus zinazotambulika...
  15. H

    Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    wadau huyu Dada tumshauri nn? Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa! Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye...
  16. Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

    VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
  17. Mzazi mwenzangu hataki mtoto apate Elimu nzuri, nadhani hajui elimu ni kwa faida ya mtoto sio mimi wala yeye

    Habarini ndugu Mimi na mzazi mwenzangu bado hatuna ndoa, ila tumebahatika kupata mtoto mmoja, kwa sasa wamerudi mkoani baada ya kuja na kukaa nyumbani kwetu kwa lengo la kumleta mtoto familia yangu imtambue. Baada ya mtoto kufikisha miaka mitatu na nusu, nikamwambia mama yake itabidi mtoto...
  18. Nitamdharau zaidi mwana Simba SC yoyote anayejidanganya kuwa leo Mtoto atampiga Baba Bustanini Kwake Baharini

    Kama Sisi wenyewe tu (Simba SC) wale tuliokuwa tukidhani ni Watoto wetu Wapendwa wataweza Kutulegezea tukikutana nao lakini Wote wanatudindia tu huku wakitukosakosa Kutufunga na mara nyingine Marefa huwa wanatubeba tusije Kuadhirika ndiyo leo tumuombee Mtoto Mnafiki aweze Kumpiga Baba yake...
  19. Malezi: Adhabu gani na Wakati gani unapaswa kumuadhibu Mtoto? Hivi ndivyo utakavyofanya.

    MALEZI: ADHABU GÀNI NA WAKATI GÀNI UNAPASWA KUMUADHIBU MTOTO? HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sasa umeshakuwa na Familia. Au pengine huna lakini unatarajia Siku za karibuni utakuwa na Familia. Binadamu wôte waliotimamu wanajua Hakuna Maisha mazuri nje ya familia...
  20. L

    Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

    Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita. Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…