Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3?
Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
Jamani mambo yanatisha unyama unaofanywa na baadhi ya watu.
Sasa mtoto mchanga kabisa hii ni wazi ni imani za kishirikina tu zimefanyika na kutumika kwenye haya mauwaji!
===============
Mtoto mchanga, Antidius Avitus (miezi minne) amekutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake...
Masaada wakuu
Mtoto n mchanga WA week 1
Na anaswet shingoni ukimpanguza
Anakua kama anababuka
Naomba kujua poda nzuri Kwa
Mtoto
Na ametokwa na vipele
Ambavyo vnakaa kama uzaraha
Ila ukivitumbua vitoka majimaji
Na vinakauka
Msaada wa dawa dafadhali
Nimeona kuna taarifa zinadai kuwa kumlaza mtoto katika mitindo tofauti na chali kunawesza kumletea madhara ikiwemo vifo vya ghafla, hili jambo limekaaje?
Salama wakubwa wa JamiiCheck?
Katika pitapita zangu mitandaoni kuna mtu nimeona akishauri kuwa ni vizuri kumnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo ili mtoto akue vizuri.
Amedai kuwa mtoto asiponyolewa nywele hizo anaweza pata madhara ya ngozi ya kichwa, ukuaji duni lakini mwisho ni mambo...
Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 .
Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto.
Tukio limetokea huko Dodoma
Hupaswi kusubiria hadi ajue kuongea ndipo uanze kumfundisha. Unaweza kuanza kumfundisha tokea akiwa na umri wa siku moja.
Miongoni mwa mambo ya kumzoesha mapema ni pamoja na:
1. Kunawa mikono kila anapojisaidia
Usbadilishie tu nguo, bali umnawishe na mikono ili ajue kuwa hilo tendo hufuatiwa...
UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA
Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake...
Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji)
Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua.
Fanya kitu kimoja:
Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha mpandishe mtoto huyo ukiwa umemshikilia mtoto
Kisha mtembeze huyo kondoo kidogo tu huku umeshikilia mtoto...
Nimeishiwa nguvu, Ni mambo yanayotia stress sana.
Kinachoaminika kwa tamaduni zetu ni kwamba mtoto wa kike mchanga, kitovu chake kikidondokea kwenye uke wake basi ni kifungo cha uzazi, Yani hataweza kuja kuzaa (Tasa).
Njia pekee ni wewe Baba wa mtoto aende kugusisha umme uliosimama kwenye uke...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa mawazo, Mungu ametujalia mimi na mke wangu tumepata mtoto. Ila ana siku mbili halali kabisa usiku. Analia tu na ana harisha kamba kamba kama makamasi. Hospital wanasema ni kawaida eti kwa mtoto mchanga.
Sasa nashindwa kuelewa kawaida kivipi mtoto kutokufunga...
Wasalam JF,
Wakuu nina kichanga cha miezi mitatu,tangu akiwa na mwezi mmoja nimekuwa nikimwambia mama yake amchunguze vizuri hasa sehemu za siri.
Akawa ananiambia mtoto ana korodani moja sikuchukulia serious kwakuwa alikuwa mdogo nikasema labda bado hayajakua vizuri.
Leo hii nimemchunguza...
Mtoto mchanga ameokotwa leo alfajiri, Novemba 02, 2022 akiwa hai, baada ya kutupwa katika maeneo ya Madale.
Mtoto huyo anayedhaniwa kuzaliwa muda mfupi kabla ya kutupwa, amefikishwa kwenye zahanati ya Madale kwa matibabu zaidi.
Chanzo: ITV
Najua kuna watu watakuja na mambo ya kizungu ya utafiti, sayansi, research, n.k lakini haya mambo ya asili yana upekee wake yaachwe kama yalivyo,,, mfano wa sisi tulioishi bush kidogo, kidole kikiingia funza, tiba asili ni kuchuma ndulele na kuivika kwenye kidole unapona fasta tu, ni tiba ya...
“Unakuta una mtoto mchanga unamfungulia akaunti mtandaoni, eti mtoto anaandika ‘Mama I love you’ kisha wewe mama unajibu ‘I love you too’, yote hayo unaandika na unajijibu mwenyewe, hilo ni tatizo la akili.
“Siku hizi kuna matatizo mengi ya akili lakini hatujayagundua, unamfanya mtoto...
Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022.
Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
Habarini za usiku wapendwa.
Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.