Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!.
Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
Mtoto Mchanga wa siku moja amekutwa amefariki katika Mtaa wa amani, Kinyanambo Kata ya Upendo Halmashauri ya Mji Mafinga baada ya wanamke mmoja asiyefahamika kujifungua kisha kumtupa.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Afisa Mtendaji wa Mtaa huo, Majolino Myinga amesema kuwa alipigiwa simu na...
Ailiyekatupa chooni haka ka baby Mungu amuangaze na amuaibishe! Sijui hata nisemeje aaaagh
Mungu wewe mwenyewe ndio tegemeo letu utakatunza katoto kwa njia zako mwenyewe.
Amen.
Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo
Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea?
Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
Ukiona mtoto mchanga analialia hovyo bila sababu yoyote ujue huyo anayeitwa baba yake ni feki.
Nilishawahi kuambiwa miaka kadhaa iliyopita sikuamini, lakini leo hii nimeamini kuna watoto wanne ninaofahamu ambao walikuwa wanalia sana halafu baadaye ikaja kugundulika walichakachuliwa.
Kwahiyo...
Habari wakuu
Kuna binti kajifungua salama kwa njia ya kawaida leo saa 10 alfajiri akaruhusiwa kurudi nyumbani punde tu baada ya kujifungua.
Aliporudi nyumbani akapumzika kwa kulala yeye na mtoto kwa uchovu wa uzazi. Saa 1 asubuhi akaamka na alipojaribu kumuamsha mtoto alikuta ameshafariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.