mtoto wa kike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. anonymous_blue

    Je, ni sahihi kwa baba kumnunulia mtoto wake wa kike PEDI?

    Jamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?
  2. Gamba la Nyoka

    Hongera Serikali kwa kukubali kumtendea haki mtoto wa kike

    Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
  3. my name is my name

    Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

    Leo nlikuwa nangalia youtube kuna wamama walikuwa wa naongea mara mmoja akasema mwanamke wa kiafrica hatakiwi kuchelewa kuamka. Anatakiwa aamke mapema saa 12 asubuhi 🤔 Nimeshangaa sna. Kwani kuna tatizo lolote mwanamke akichelewa kuamka? Mfano mimi km siku nko free siendi shule nakuwa nachelewa...
  4. Gordian Anduru

    WADJDA: Filamu inayochochea ukombozi wa mtoto wa kike

    Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya kuhifadhi Quraan akiamini atakuwa mshindi wa kwanza na kujipatia pesa ambazo atazitumia kununulia...
  5. mama D

    Ufadhili kwa mtoto wa kike wa kidato cha kwanza (form one)

    Habari ya jumatatu wandugu. Hii nafasi ni kwa watoto wasiokua na wazazi/yatima na waliokua kwenye mazingira magumu Unatakiwa kufika na mtoto tarehe tajwa saa moja na nusu asubuhi - Zingatia muda Tusambaze ujumbe huu tukaguse maisha ya watoto wetu Na Mungu atubariki🙏
  6. ndege JOHN

    Mtoto wa kike kuitikia naam imekaaje

    Mfano unamwita Monica ye anaitikia naam hivi Ni sahihi wazee? mtoto wa kike SI inatakiwa aseme abee Mara zote. Thread tayari.
  7. A

    Ushauri: Kama una biashara na unataka kuwaachia watoto wako wasimamie, masuala ya fedha muachie mtoto wa kike

    Mtoto wa kike tamaa yake kubwa itakuwa ni kupendeza na kuwakoga wenzake. Kama atachomoa hela za kampuni itakuwa ni kwa ajili ya nguo, vikuku vya dhahabu na handbags. Mtoto wa kike kama ni mpenzi atakuwa nae mmoja na ni mara chache sana atamshirikisha katika mambo ya pesa. Mtoto wa kiume...
  8. Abrianna

    Dhana ya Kumuinua Mtoto wa Kike ni bomu kwa Vizazi vijavyo

    Note: Andiko hili lilitolewa May 16, Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume Duniani. Kuanzia mwaka 2018, Dr Jerome wa Trinidad and Tobago alifanikiwa kuitambulisha tarehe 16 May ya kila mwaka kama siku maalum ya kutambua mchango wa mtoto wa kiume katika jamii. Tangu mwaka 2012 UN ilipotambulisha...
  9. Top gun maverick

    Nashukuru ushauri wa JF nimepata mtoto wa kike

    Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba. Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata...
  10. lee Vladimir cleef

    Chemsha bongo: Kusafiri baba na mtoto wa kike wa miaka 10

    Salaam Naleta mada hii kama chemsha bongo. Huwa natafakari Sana. Je kama Baba napenda mwanangu wa pekee wa kike mwenye umri Kati ya miaka minane na kumi nambili, napenda kwenda nae safari ya mbali kwa sababu mbalimbali ukiwa ni pamoja na holiday tu. Napenda kusafiri na mwanangu, pengine...
Back
Top Bottom