Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya kuhifadhi Quraan akiamini atakuwa mshindi wa kwanza na kujipatia pesa ambazo atazitumia kununulia...