mtoto wa kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  2. T

    Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

    Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu. Juzi hapa...
  3. SI KWELI Uume wa mtoto ukidondokewa na kitovu chake huacha kusimama

    Je ni imani za kweli kuwa kitovu cha mtoto mchanga kikiangukia uume huyo mtoto atakua hasimamishi? Wajuvi wa mambo tunaomba mtusaidie.
  4. F

    Ni kweli mtoto wa kiume anatakiwa kutahiriwa wakati wa baridi?

    Nimeshauriwa muda mzuri wa kutahiri watoto ni wakati wa baridi na sio wakati wa joto. Je ni kweli? Kwa hapa Dar es salaam ni mwezi gani mzuri wa kutahiri mtoto( mwezi wenye baridi). Asante sana
  5. F

    Ni ipi hospitali nzuri ya serikali ya kutahiri mtoto wa kiume kwa Dar es Salaam?

    Habari zenu jamani naulizia hospitali gani nzuri ya serikali kwa Dar es Salaam ambayo inatoa huduma ya kutahiri watoto wa kiume. Nipo na watoto wawili mmoja miaka 9 mwingine miaka 7 nataka watahiriwe wiki hii. Niligoogle namba za Dk. Juma wa Kariakoo wanamsifu sana lakini bei zake...
  6. Mtoto wa Kiume kadri anavyokua huanza kumsamehe Baba yake

    Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi. Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine. Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio. Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama...
  7. Mtoto wa kiume hasa hasa graduate kamwe usikubali kuishi kwa shemeji yako ( mme wake na dada yako) ni laana

    Wakuu kwema Hizi mvua mvua zinazonyesha hapa Bariadi leo nimeshuhudia graduates anayeishi kwa dada yake akipewa maelekezo na shemeji yake (mme wake na dada yake), ahamishe trip nne za mchanga (matipa/malori manne) kutoa nje kifusi cha mchanga kuingiza uwani (ndani ya fensi/ uzio). Sababu...
  8. Mtoto wa kiume anaweza kujisimamia mwenyewe, wa kike usithubutu utalia! Hii ni kweli kipindi hiki cha digitali?

    Wakuu, Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu. Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina...
  9. Mtoto wa kiume usiendekeze Friendzone na watoto wa kike

    Huu ni ujumbe kwako “Boy child”. Ikiwa imetokea umekutana na binti mzuri akakuvutia na ukaweka jitihada zako kama kumtoa out,kumpatia zawadi na kumpatia offer mbili tatu kama kumlipia bills zake za umeme, chakula,vocha na kadhalika ambazo zimeashiria upo tayari kujitoa kwaajiri yake na unataka...
  10. Mtoto wa kiume ingia kwenye mahusiano kitaalamu

    Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni. Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo. Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa...
  11. Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

    Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema. Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto. Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
  12. Ni umri gani mtoto wa kiume atahiriwe?

    Ni umri gani no mzuri kumtahiri mtoto?
  13. M

    Okoa mtoto wa kiume, okoa jamii endelevu

    Tunawashutumu watoto wa kiume waliobadili jinsia na kuwa na tabia za kike(mashoga)lakini tunashindwa kutafiti chanzo cha wao kuwa na hiyo hali. Naamini tukipata muda wa kufanya utafiti asilimia walau 80 ya vijana hawa ni wale waliopelekwa boarding schools utotoni mwao wazazi wakiwa busy na...
  14. H

    SoC04 Tumlinde mtoto wa kiume wa kesho

    No ya watoto wa kiume Tanzania inazidi kupunguza ukiondoa vifo ila hata uzaliwaji wa watoto wa kiume umekuwa mdogo sana na hii kupeleka hata taifa siku za usoni kukosa nguvu kazi ya taifa lenye wanaume shupavu kama wazazi wetu walio tutangulia. Zipo njia kazaa tunaweza kuzitumia kumpa nafasi...
  15. Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani. Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
  16. N

    Mtoto wa kiume miaka 6 kulia kila saa bila sababu ya msingi

    Wakuu ni hiv..nna rafik yangu anamtoto wa kiume miaka kama 6 hiv. Huyu dada ni singo mama... Huyu mtoto alivyolelewa aisee..au sjui labda wenzetu hawa wa rang nyingne hii ndo style yao Aisee huyu dogo kila kitu analia..akidondosha kitu chake mwenyew analia.. Akivaa nguo analia,..akiwa anakula...
  17. Mtoto wa kiume jikaze, acha kulegea, mtoto wa kiume halii! Tusipobadilika tutawapoteza!

    Mtoto wa kiume amekuwa akipitia changamoto nyingi tu katika jamii kama mtoto wa kike, ila unakuta wao kusema inakuwa vigumu kwa sababu wameaminishwa kuwa wao Kidume, Nguzo ya Familia, akilia anaambiwa jikaze mtoto wa kiume halii, akionesha kuumia anachekwa anaambiwa acha kulegea, mwisho siku...
  18. Nimemaliza mwaka huu kwa Kupata Mtoto wa kiume; huu ni Muhtasari wa Safari tangu mwezi Februari mwaka huu

    NIMEMALIZA MWAKA HUU KWA KUPATA MTOTO WA KIUME; HUU NI MUHTASARI WA SAFARI TANGU MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU. Anàandika, Robert Heriel Shahidi Andiko hili liwe tumaini kwa waliokata tamaa. Liwe faraja kwa wasio na mfariji. Liwe funzo kwa wenye kupenda ufahamu. Basi nikasema, hili nalo nitaandika...
  19. Mwanamke Jela miaka 29 kwa kumbaka mtoto mdogo wa kiume mwenye miaka 8

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Lumuli wilayani Iringa, Desderia Mbwelwa (57) (katikati) miaka 29 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingoni (grave sexual harassment) mtoto wa kiume mwenye miaka nane wakati kijana huyo akiwa anachunga ng’ombe ndipo mama...
  20. N

    SoC03 Kivuli cha mtoto wa kike kinavyoathiri malezi na ndoto za mtoto wa kiume

    Na Norberth Saimoni Chanzo:NSPCC Usawa wa kijinsia ni agenda ya nchi nyingi ulimwenguni ambayo inajumuisha hatua na jitihada mbalimbali zinazolenga kuhakikisha kunakuwa na ulinganifu baina ya mwanaume na mwanamke katika nyanja zote kijamii,kisiasa,kiuchumi na kitamaduni. Jitihada hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…