Salam Wakuu,
Katika malezi ni muhimu sana mtoto ajihisi kupendwa na wazazi wake ama na yoyote anayemlea. Ni ngumu kwa mzazi/mlezi kuwapenda watoto wote sawa, lakini ni muhimu kwa watoto wote kujihisi wanapendwa na kujaliwa na wazazi/walezi wao.
Mtoto anayepata mapenzi na upendo kutoka wa...
Kwani hatuna vijana wa kiume walioacha masomo kwa kusababishiwa na wazazi au walezi wao hata wakajikuta wamepotea mtaani?
Katika miji na majiji vijana wa kiume wanafanya kazi ya kukata nyasi za mifugo, kuuza kahawa kwenye mabirika, kusafisha vioo vya magari na wengine wapo kwa ajili ya kufanya...
Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dkt.Khalfany Haule amesema taarifa ya uchunguzi iliyofanywa kuhusu sakata la Mtoto kugeuka jiwe Musoma imethibitisha bila shaka kuwa hakuna aliyezaa jiwe wala hakuna Mtoto aliyegeuka jiwe bali Amina Abdallah aliyemuahidi kumzalia Hamis Mtoto wa kiume kisha akamzalia wa...
Katika kitu nilichojifunza katika mahangaiko ya dunia yangu ukweli ni kuwa mtoto wa kiume apewe support kubwa ukilinganisha na wa kike.
Mtoto asome asisome apewe support asipewe support mwisho wa siku lazima atakuwa chini ya mamlaka ya mwanaume achana na hao wanaojiita single mothers mtoto wa...
Wazazi mmekuwa bize sana walahi, imani ya kwamba mnawatafutia watoto wenu ili wasije kuteseka mnakosea sana maana mwenye uwezo huo ni Mwenyenzi Mungu pekee. Mnapamnana na bado hali ni ile ile, tumezaliwa ili tusaidiane.
Watoto wa kiume wamearibikiwa kwa sababu wazazi baadhi hawana hata hofu ya...
Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12.
Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake...
Nini maana ya hedhi,
Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147.
Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
Staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametangaza kufiwa na mtoto wake wa kiume jioni ya leo Jumatatu Aprili 18, 2022.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ronaldo amesema mtoto huyo wa kiume bila kufafanua ni yupi amefariki licha ya juhudi kubwa za madaktari katika kuokoa uhai wake...
Mungu ni mwema.
Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.
Mama na mtoto ni wazima.
Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.
Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
Salaam sana jf
Imekua kawaida kwa hali ilivyo kwa sasa,kila tunakozunguka ktk maisha ya kawaida tunakutana na mijadala na hotuba mbali mbali za kumnyanyua mtoto wa kike ktk masuala kadhaa wa.
Dunia nzima sasa hivi inazungumza lugha moja tu ya usawa wa kijinsia kati ya ke na me na imekua...
Bwana Mchanga alipata nafasi ya kwenda masomoni nchi za Scandinavia, alibahatika kupata mke wa Kizungu na baraka ya mabinti watatu. Baada ya masomo Mrs Mchanga alikataa kurudi Tanzania. Waliachana kwa amani na bwana Mchanga kurejea nyumbani.
Alipata ajira serikalini kama afisa mwandamizi...
Msako unaendelea nchini Pakistani kumtafuta mganga wa kienyeji anayedaiwa kushindilia msumari kwenye kichwa cha mwanamke mjamzito. Mwanamke huyo alifika katika hospitali ya Peshawar baada ya kujaribu kuchomoa msumari wa 5cm (inchi mbili) kichwani kwake.
Awali, aliwaambia madaktari kuwa...
Inatokea kwa jamii nyingi kuwa mtoto wa kiume kawaida au mara nyingi kwenye familia huwa na upendo mkubwa sana kwa mama yake kuliko kwa baba yake.
Yuko tayari kuomba ushauri au kumshirikisha mambo yake ya ndani sana mama yake kuliko kumshirikisha baba.
PAKA JIKE HAWEZI KUKUZA SIMBA DUME
Mwanamke pekee hawezi kumkuza mtoto wake wa kiume kwenye kizazi hiki kipya, hii haijalishi mwanamke kaelimik kiasi gani, cheo, pesa, n.k. itakuwa ni ngumu sana, ponea ya mtoto labda awe na wajomba, ndugu wa kiume, n.k wenye muda nae, pia watoto wengine...
Muhimu: watoto wa kiume wanaozungumziwa ni wale ambao wapo sana na mama zao, achana na wale ambao wana lelewa na single mothers ila wana farher figures au wana kampani kubwa ya wajomba au hata kuwa na marafiki wanaume wenye maadili.
Sababu kubwa ni kwasababu wanawake wanalea watoto kwa...
Watoto wa kiume wanapitia changamoto nyingi sana ,kama matumizi ya madawa ya kulevya,udhalilishaji wa kijinsia, uchaguzi wa marafiki wabaya, makundi maovu na nyingine nyingi.
Kitabu ni ebook bei 4000.
Simu na whatsapp 0756625286.
Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu urijali wa mwanaume.
Ili kumlea mtoto wa kiume awe rijali ni lazima kwa kiasi fulani kuwe na mlezi...
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.