Salaam
Naleta mada hii kama chemsha bongo. Huwa natafakari Sana.
Je kama Baba napenda mwanangu wa pekee wa kike mwenye umri Kati ya miaka minane na kumi nambili, napenda kwenda nae safari ya mbali kwa sababu mbalimbali ukiwa ni pamoja na holiday tu.
Napenda kusafiri na mwanangu, pengine...