mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoto wa Rais wa Nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati awazaba Makofi wazungu huko Urusi.

    Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow. https://dai.ly/x8o0qen Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
  2. Utafanyaje kama mtoto wa rafiki yako wa karibu anatoka kimapenzi na ex-wife wako mliodumu wa miaka zaidi ya 20 muda mfupi baada ya nyie kuachana

    Hawa viumbe lile shimo lao linafanya wakose na watukosee heshima wanaume na familia zao. Mwanamke mwenye akili timamu hawezi mvulia pichu mtoto wa shemeji yake ambaye alishiriki hadi kumlea. Hii ni true story, Mtoto wa Michael Jordan aitwae Marcus Jordan anatoka kimapenzi na ex-wife wa rafiki...
  3. Inawezekana huyu binti ni mtoto wa Ronaldinho

    Huyu binti anaitwa Miche Minnies ana miaka 13 na ni mchezaji wa timu ya wanawake ya Mamelodi Sundowns ya Africa Kusini. Miche Minnies anavuma mtandaoni kwa ufanano wake na gwiji wa Brazil Ronaldinho. Ronaldinho wa Brazil alitembelea Afrika Kusini hapo awali, na hivyo imezua mzaha kuwa aliacha...
  4. Kijana Msomi asie na ajira kamteka kimapenzi mtoto wa kigogo, Anataka kumpa mimba ili apate ajira / mtaji , Ni njia sahihi ?

    Kijana ana degree na masters Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini...
  5. Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Lebahati (35-37) anatuhumiwa kumtorosha mtoto wa kiume wa bosi wake na kwenda kuishi naye kinyumba kwa miezi mitano mfululizo huku akimlawiti. Kijana huyo aliyekuwa anafanya kazi ya kuchunga mifugo kwa bosi wake Simioni Abel huko wilayani Moshi mkoani...
  6. F

    Kupotea na kutoweka kwa Mtoto wa Rais Thabo Mbeki eneo la Mazimbu Morogoro. Nani walihusika?

    Ktk pitapita zangu viunga vya YouTube nakutana na kisa hiki. Ikumbukwe South Africa walikuwa na kambi ya wapigania Uhuru eneo la Mazimbu Morogoro. Aliyewahi kuwa Rais wa South Africa Thabo Mbeki 1999 Hadi 2008 alikuwa na Mtoto mmoja tu wa pekee aitwaye Kwanda Mbeki. Alimzaa na Mwanafunzi wa...
  7. Mchezaji kutokea Mkoani Kigoma akutana na Leonel Messi uso kwa uso uwanjani

    Huyu ndio Mwana Kigoma Makali ya Bernad Kamungo yalianzia hapa katika uwanja huu wa Nyarugusu, kwenye ardhi ya mkoa wa Kigoma. Alizaliwa January 1, 2002, Kasulu kijiji cha Nyarugusu. ........... Hapa ni Kigoma Kasulu, Huu ndio uwanja wa Nyarugusu ambapo makali ya Bernard Kamungo yalianzia...
  8. Marekani: Mtoto wa Mwaka mmoja afariki baada ya kuachwa kwenye gari lenye joto kwa saa 8

    Mtoto huyo wa kike aliachwa kwenye kiti cha nyuma cha gari na bibi yake ambaye alienda kufanya kazi. Polisi wa New York wameeleza kuwa bibi huyo mwenye umri wa miaka 54 alisahau kumpitisha shuleni mtoto huyo kama ambavyo amekuwa akifanya anapoenda kazini. Baada ya saa nane akaenda shuleni...
  9. P

    SI KWELI Nyerere ni baba mzazi wa Freeman Mbowe

    Wakuu kwema? Kuna sehemu nilisikia wana wanasema hili kuhusu Mbowe kuwa na uhusiano wa damu na Hayati Mwl. Julius Nyerere, wakawa wanasema hata jinsi Mbowe alivyofanana na Nyerere kwamba kuna uhusiano zaidi ya familia zao kuwa marafiki lakini kweli ni kwamba Mbowe ni mtoto wa Nyerere. Eti...
  10. Nyumba ya Mtoto wa Uhuru Kenyatta yadaiwa kuvamiwa na Polisi

    Uhuru Kenyatta’s Son Jomo's Karen Home Allegedly Raided By Police Former President Uhuru Kenyatta now claims that his first-born son Jomo's residence in Karen was on Friday raided by mysterious individuals who identified themselves as police officers. Addressing the media on Friday night...
  11. Katika umri wa miaka 10 tu, kuna tofauti KUBWA SANA kati ya mtoto wa kiafrika na mtoto wa kizungu

    Nimeshangaa sana kusoma habari kwa millard Ayo eti mtoto wa miaka 8 huko kwa Obama ameiba Gari na amekimbizana na Polisi barabarani😂😂😂 At 8 years mtoto anajua driving? Ana control barabarani kabisa in busy roads? Huku Afrika huyu mtoto akitumwa dukani tu anakunjiwa elfu 10 kwenye karatasi...
  12. Mtoto wa mwezi mmoja afariki baada ya wazazi kumuangukia wakipigana

    Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
  13. SoC03 Pale ambapo mimi na wewe tumeshindwa kumlinda mtoto wa kike, teknolojia ya habari na mawasiliano haina budi kuingilia kati

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wa kike hususan wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kunyanyaswa kingoni ikiwa ni pamoja na Kuingiliwa kimwili (KUBAKWA) hadi kupelekea kukatisha masomo yao kutokana na kubeba Mimba na kuathirika kisaikolojia jambo ambalo...
  14. B

    Songwe: Amuua mtoto wa mumewe akimtuhumu kupoteza ng’ombe wawili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha kumkamata Veronica Petro (24) mkazi wa Wilaya na Mkoa wa Songwe akituhumiwa kumuua mtoto wa mume wake, Mageshi Usiga (7) aliyekuwa akimlea. Kamanda wa polisi mkoani humo, Theopista Malya, amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya mtoto huyo...
  15. Mahusiano mtoto wa kike

    Habari ya mda huu!! Nina swali la kuhusu mahusiano kwa nn wadada kati ya umri 17-20 katika mahusiano wanakuwa na mambo mengi? Inayopelekea kutokuelewa ukweli na kua na jeuri, ujuaji,ubishi n.k?
  16. Mwanza: Aliyetuhumiwa kunajisi mtoto wa miaka 5 ashinda rufani

    Mahakama Kuu mkoani Mwanza, imemwachilia huru Daudi Kanyengele, baada ya kushinda rufaa aliyofungua kupinga kifungo cha miaka 30 jela, aliyohukumiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumnajisi binti wa miaka 5. Hukumu hiyo iliyotowa Juni 23, mwaka huu...
  17. Adaiwa kuchoma nyumba ya hawara baada ya kutomkuta usiku, mtoto afia ndani

    Mtoto, Ashura Makelebe (4) amekufa kwa kuteketea kwa moto ndani ya nyumba baada ya mtu anayedhaniwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama yake mzazi kudaiwa kuchoma moto nyumba aliyokuwa amelala. Mtuhumiwa huyo ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai hayo, anadaiwa kufikia uamuzi wa...
  18. M

    Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imemuhukumu Sanya Kalamangola mwenye umri wa miaka 25, kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake baada ya mkewe kwenda kumuuguza mjamzito.
  19. Siku ya Mtoto wa Afrika

    Siku ya Mtoto wa Afrika: Kupaza Sauti kwa Haki za Watoto Tarehe 16 Juni kila mwaka, bara la Afrika linajikusanya kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Siku hii ni maalum sana kwetu sote kwa sababu inatukumbusha umuhimu wa haki za watoto na jukumu letu la kulinda na kukuza ustawi wao. Mtoto ni...
  20. Mtoto wa Clement Mzinze apasua mtihani wa darasa la nne

    Mtoto wa mchezaji kinda wa Yanga Clement Mzinze (19) (jina kapuni) amepongezwa na ukurasa rasmi wa shule yake kwa kufanya vizuri katika mtihani wa darasa la nne wa katikati ya mwaka kwa kupata A nne na B pekee. Itakumbukwa kuwa mtoto huyu sio wa Kwanza kufanya vizuri, kwani kipindi cha nyuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…