Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..
Moral of the story: Vijana tafuteni...
Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Mwalimu Johnwell Mwamboya (38) mkazi wa Iyela jijini Mbeya baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka saba.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Tedy Mlimba mbele ya...
Kuna msemo unaosema ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, tukio la Baba mzazi mkazi wa mtaa wa Mafisa, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kudaiwa kumuweka unyumba mtoto wake wa kike wa miaka mitatu limewachukiza wengi huku baadhi ya wananchi wakiiomba serikali kuchukua hatua kali...
Na mwandishi wetu
Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Dudley Mbowe na kuipiga mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi wa habari.
Uamuzi huo wa mahakama...
Tarime. Ni unyama, ndiyo unavyoweza kutafsiri alichofanyiwa mtoto mwenye miaka 10, mwanafunzi wa darasa la saba.
Amebakwa mara nne kwa nyakati tofauti na jirani yao, mwanamume mwenye miaka 40.
Mwanafunzi huyo, mkazi wa Kijiji cha Sanganga, Kata ya Pemba wilayani Tarime, anadaiwa kutendewa...
Wataalam,
Nimekuwa kwenye mahusiano ya takriban miaka mi3 Sasa na huyu Binti mmoja mtoto wa Kigogo mkubwa hapa Tanzania.
Kusema kweli Binti ananipenda na Mimi nampenda sana. ila changamoto imekuja hapa baada ya kutaka kufikia hatua ya ndoa.
Ni kwamba Binti nilikuwa nakaa naye nyumbani kwake...
Kazi zangu za tofar zimenikutanisha na mtoto wa kirangi mama ntilie.
Huyu mtoto nashindwa kutambua ameniroga au ni michezo brand new anayonipa, sisikii. nikiwa naye simu
naweka mbali naiona disturbance mtoto mtukutu kama wacheza rugby hakubali kushindwa. mimi ndio
nafundishwa mapenzi.
Ubedui...
Waswahili wanasema "Mtoto wa Nyoka ni Nyoka" angalia hapa Mtoto wa mwanasoka Messi anavyolisakata kabumbu.
Mateo Messi amedhihirisha kuwa Baba yake amemkuza kuja kuwa Mchezaji bora mbeleni.
Kuna huyu waziri namsikia sana sasa hivi, Jerry Silaa. Je, huyu ni mtoto wa Dkt Slaa? Yule aliyekuwa Chadema?
Maana wanasema mtoto wa simba ni simba. Naomba kuwasiliana
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023.
Familia ya Dr...
MTOTO WA RAIS SAMIA, WANU HAFIDH ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MAHIRI ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amenyakua tuzo ya mwanamke mahiri katika kipengele cha mtendaji bora wa taasisi kwa mwaka katika kuchochea...
Uturuki imetoa Hati ya Kimataifa ya kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kudaiwa kumgonga msafirishaji wa pikipiki, ambaye alifariki baadaye.
Ripoti ya Polisi imesema Mohamed Hassan Sheikh Mohamud alipata ajali hiyo Mchana Jijini Istanbul aipokuwa akiendesha...
Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza.
Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu.
Maumivu kutokana na...
NIMEMALIZA MWAKA HUU KWA KUPATA MTOTO WA KIUME; HUU NI MUHTASARI WA SAFARI TANGU MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU.
Anàandika, Robert Heriel
Shahidi
Andiko hili liwe tumaini kwa waliokata tamaa. Liwe faraja kwa wasio na mfariji. Liwe funzo kwa wenye kupenda ufahamu. Basi nikasema, hili nalo nitaandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.