Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na kutokomea navyo kusikofahamika.
Siku kadhaa hapo nyuma yameshatukia matukio kama haya mawili ambayo...
Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani.
Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar.
Hii...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea
Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
Taasisi ya elimu ingeandaa masomo ya kizalendo kwa watoto sio ti stadi za kazi.Watoto wanabidi wafundishwe uzuri wa nchi yao na pia kupenda nchi yao maana ndio urithi wao ni kazi yao kuilinda. Jeshini zile siku za mwanzoni huwa wanafundishwa uzalendo nyimbo za uzalendo.
Lakini kama mashuleni...
Tukisema mtoto ni taifa la kesho iwe Ina maanisha Kwa vitendo Kwa wadau wazazi mpka serikali yenyewe.
Ifike mahali wataalam waafya watoe masomo ya mlo kamili Kwa kina mama wajawazito wapo kliniki ili kutengeneza mtoto Bora wa kesho pia ni vizuri wataalam wa afya wakawaoa elimu mama wa jawazito...
SAID TEWA MTOTO WA TEWA SAID TEWA MUASISI WA TANU ATEMBELEA MAKTABA
Leo ndugu yangu Said Tewa mtoto wa mmoja wa wazalendo 17 walioasisi TANU kanitembelea.
Said tumekuwa pamoja Dar-es-Salaam lakini baadae Said alihamia Ulaya.
Miaka mingi sasa yuko huko lakini huja nyumbani kusalimia.
Kumuona...
Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka.
Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila Mwaka ifikapo Juni 16 kuwakumbuka Watoto waliouawa na Serikali ya Kibaguzi huko Soweto Mwaka 1976 wakiwa katika Maandamano ya kudai Haki zao ikiwemo Haki ya kupata Elimu na kufundishwa kwa kutumia Lugha zao Asilia
Kwema wandugu
Kuishi na watu kazi sana, kuishi na ndugu kazi sana
Huyu kijana wa shangazi yangu ni mhuni, mlevi, mvivu, si muwajibikaji na hana, nidhamu.
Namgharamia kwa vingi, kuanzia kumlisha, mavazi, malazi na kadhalika
Kazi nimemtafutia mimi, nilitumia jina langu apate kazi ingawa hakuwa...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na maandiko yanadai kuwa Lissu akiwa kwenye mkutano Singida alisema mtoto wa Rais Samia aitwaye Abdul aliwahi kumpelekea rushwa akamfukuza.
Je, kauli hii ni kweli?
Tunaomba mtusaidie kutafuta uhakika
---
Video 1: Lissu akiwa Mkutanoni Singida akielezea kufuatwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama mnavyofahamu kuwa msafara wa katibu mkuu wa CCM na sekretarieti yake Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ametua na kuingia katika Jiji la Arusha lililo chini ya Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara akitokea Mkoani...
Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili ni tusi na kuacha kuzungumza ama kumuelekeza mtoto husika imefanya watoto kukutana nayo wenyewe na...
Tunawashutumu watoto wa kiume waliobadili jinsia na kuwa na tabia za kike(mashoga)lakini tunashindwa kutafiti chanzo cha wao kuwa na hiyo hali.
Naamini tukipata muda wa kufanya utafiti asilimia walau 80 ya vijana hawa ni wale waliopelekwa boarding schools utotoni mwao wazazi wakiwa busy na...
No ya watoto wa kiume Tanzania inazidi kupunguza ukiondoa vifo ila hata uzaliwaji wa watoto wa kiume umekuwa mdogo sana na hii kupeleka hata taifa siku za usoni kukosa nguvu kazi ya taifa lenye wanaume shupavu kama wazazi wetu walio tutangulia.
Zipo njia kazaa tunaweza kuzitumia kumpa nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.