Nicole Mbowe ambaye ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameachiwa huru na Polisi ikiwa ni zaidi ya saa mbili toka alipokamatwa maeneo ya Magomeni Mapipa Jijini Dar es salaam leo September 23,2024.
- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Nicole ameonekana nje ya...
Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza.
Hii inaweza kuwa shida gani?
MSANII 50 CENT
"Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent
"Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miezi 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna... anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa. Nimekuja kwenu kutaka ushauri nini chakunya aweze kutambaa kumove na kusimama.
Naaambiwa kuwa na watu kwa umri...
Habari za asubuh wakuu, kama kichwa cha habari kina vyojieleza hapo juu.mimi ni BABA wa mtoto mmoja wa kike wa mwaka mmoja, mtoto amekuwa na tatizo la kunesa kichwa anapoangalia kitu kwa mara ya kwanza mfano akiangalia TV at the first look ananesa kichwa then anakaa sawa au akiangalia mtu,kitu...
Kila mtu anakuomba hela kumbe wewe mwenyewe ni misheni taun coz tangia umemaliza chuo 2016 hadi leo haujapata ajira.
Kila mtu anataka atembee na wewe ili awaoshee wengine.
Wanakuuliza kama unaishi karibu na nandy ili uwape stori zake kumbe we mwenyewe una share geto na mwanako mikorochini...
Hii hali sijui inaisha lini huzuni sana sana
Mtoto wa darasa la nne amebakwa na kijana mmoja akielezea kama una mtoto wa kike unaliaa
Mtoto anasema alichukuliwa akapelekwa nyumba moja alipoanza kulizia kuna nn kijana alimtisha ukisema kwa watu nakunyonga
Kijaana akaanza kufanya anayotaka...
Wasalaam,hakuna mtoto wa mwanasiasa au tajiri anayesomea ualimu hapa Tanzania.
Education ni kazi isiyo na marupurupu na posho.
Huwezi kuta mtoto wa mtu anayejiweza anasomea ualimu.
Ukitaka ufe kwa pressure somea coz hizi zenye posho na mianya ya ulaji.
Kaka yangu kasomea PSPA toka 2010...
Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni.
Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo.
Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa...
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti...
Mahakama ya wilaya ya Ruangwa imemhukumu Juma Saidi Selemani almaarufu kama Dj Mushizo (23) mkazi wa Kijiji cha Nandanga wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa miaka minne.
Hukumu hiyo ya kesi ya Jinai namba 3071/2024 imetolewa na...
Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa?
Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tu
Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au?
mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena?
sasa mtapita wapi na mimi
"eti, Tsup ma, how ya doin'
baby send me your photo
ma, you love my swaga?
hey babe, lil mama
hey honey money
money penny i got money for ya''
yani huku...
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.
Choo mlangoni wameweka gunia au khanga
Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.
Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.
Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
Kijana endapo kama utaamua kuoa single mother na ukaamua kubeba majukumu ya ubaba kwa mtoto wake basi tambua kuwa mtoto hatothamini unavyojitoa kwake na kila utakachofanya ataona kuwa unayafanya hayo majukumu kwasababu upo na mama yake na sio kwamba unampenda kweli.
Mtoto wa single mother...
Leonor, Princess of Asturias ni binti wa kwanza wa Mfalme wa Hispania, Felipe VI na Malkia Letizia.
Alizaliwa Oktoba 31 mwaka 2005 kwa sasa ana umri wa miaka 18.
Amehitimu chuo na mafunzo kijeshi hivi karibuni na ndie malkia anayefuatia kwa utaratibu wa Ufalme wa Hispania.
Sasa huyu binti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.