mtoto wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

    Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu. Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na...
  2. Miss Zomboko

    Msaada tafadhali: Nitumie njia gani kumsaidia Mtoto wangu ambaye ni mzito kidogo kuelewa Shuleni (Slow learner)?

    Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
  3. Organic Live Food

    Wakazi wa Dar; Ni kweli nikimpatia adhabu mtoto wangu akiwa amefanya makosa nitashtakiwa kwa unyanyasaji wa mtoto?

    Wadau habari ya wakati huu. Mwaka jana nilikuwa Dar maeneo ya tabata kisukulu. Nilienda kumsalimia mjomba. Katika moja ya maongezi alinieleza mjukuu wake mmoja ambaye hasikii sana na anatabia mbovu Nilimuuliza nyie mmetulea sn kwa viboko na adhabu ndogondogo mpaka tumenyooka Vipi huyu mjukuu...
  4. Mungu niguse

    Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

    Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama wakuu. Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri. Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
  5. Magical power

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  6. danhoport

    Nimepewa lift nikiwa na mtoto wangu, roho imeniuma sana

    Wazima humu? Mimi huwa na utaratibu wa kutoka na mwanangu asubuhi kumpeleka shule kila siku na huwa natoka nae kuanzia saa moja huwa tunapanda bajaji au bodaboda, sasa leo tukiwa tunatembea kuona kama tutakutana na bajaji ili tupande ndo akapita jamaa na Rumion nyekundu akaniambia panda...
  7. Kazanazo

    Mtoto wangu anatafuna meno tiba yake nini?

    Jf doctors na wadau naomba msaada wa mawazo, mtoto ni wa mwaka mmoja ni wa kike nifanyeje ili kutibu tatizo
  8. Mzee Kimamingo

    Mzazi Mwenzangu kamtelekeza mtoto wangu

    Habarini wana Jamvi. Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto ilikuwa ni ajali kazini. Nahudumia mtoto ina Bima hii mbovu mbovu ya NHIF nimemkatia ila katikati apa...
  9. Roving Journalist

    Mkazi wa Arusha amwambia Makonda: Mtoto wangu amelawitiwa, Askari Polisi hawanisaidii na wananipa vitisho

    Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
  10. TZ-1

    Mwanangu anapenda kulala Sakafuni. Je, ni tatizo?

    Hbar wadau, Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya kulala sakafu kimtazamo Wangu nikajua joto tu sasa tuko Dar na hasa tupo kwenye room yenye AC usiku...
  11. G

    Mtoto wangu anayeishi na mama yake tulieachana analelewa ndivyo sivyo, ustawi wa jamii imeshindikana kumchukua, mama yake hataki niwe nae, nifanyeje?

    Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa...
  12. K

    Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

    WANA JAMVI HABARI ZENU! Ninachokiandika hapa ni ukwel 100% na imenitokea mm hapa mwenyew wala sio hadithi ya kusimuliwa na m2!! TUANZIE HAPA. Mnamo mwaka 2015 nilihitim elim yangu ya kidato cha sita na wakat nipo mtaan nilianzisha mahusiano na dada mmoja hv aliyekua mjasiriamali mzuri 2...
  13. LA7

    Je, unafurahishwa na tabia za mwanao?

    Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia, Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani, Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia Akichukua kitu...
  14. M

    Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Habari za jioni. Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa. Niende kwenye mada. Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini kilichotokea nilishituka sana kwa hile tukio lilotokea. Mimi nafanya kazi kwenye wizara moja hivi nipo...
  15. B

    The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Habari zenu wana jamii forum Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu. Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
  16. Kidagaa kimemwozea

    Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

    Habari wadau, Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
  17. NetMaster

    Kujiajiri kunaweza kuwa utumwa, mwaka wa tatu huu bampa to bampa kuamka alfajiri kurudi usiku, sina muda wa kutosha hata wa kupumzika na mtoto wangu

    Uhuru wa kuwa na muda wa kufanya mambo yako nao una umuhimu aisee. Utamu wa ngoma ingia ucheze, usilewe na maneno matamu ya motivational speakers kujidanganya kwamba kila mtu aliejiajiri anaweza kuamua aamke saa ngapi, aende likizo wiki nzima mbugani, n.k. haya mambo wanaoyaweza ni kundi la...
  18. mdukuzi

    Nilivyomteka nyara mtoto wangu mwenye utapiamlo toka kwa mama yake

    Kuna mwaka niko mitaa ya Mwananyamala nikakutana na dada fulani wa kizaramo anaitwa Somoe. Ni wale waswahili OG sema Mungu alimjalia sura na umbo zuri. Nikaimbisha nikakubaliwa nikawa najimegea show za kibabe. Tangu nibalehe sijawahi kutana na fundi kitandani kama Somoe Akanitegeshea mimba...
  19. La Quica

    Mtoto wangu ananishangaza

    Niaje wakuu Tusichoshane. Mtoto wangu ametimiza miaka miwili mwezi wa kwanza. Kinachonishangaza ni kuwa hajikojolei wala kujinyea. Akitaka kukojoa au ku poop anasema na usiku hata ukimvalisha pampas anaamka anakuambia anataka ku poop au jojoa. Nimenunua kibunda cha pampas mwezi wa 11 ila...
  20. Kamongo2

    Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
Back
Top Bottom