mtoto wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Kuna namna yoyote naweza kuifanya ili mtoto wangu awe raia wa Zanzibar ili nimpunguzie mzigo wa uraia wa bara?

    Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar. Kwa ninachokiona ni wazi kabisa uraia wa Zanzibar ukiulinganisha na huu wetu kama maji na mafuta, kuna privelledges katika uraia...
  2. Shy land

    CCBRT walivyotatua tatizo la mtoto wangu la mdomo sungura

    hii ni kabla Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura. Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo...
  3. B

    Msaada jaman mtoto wangu kakosa chuo

    Kamaliza form six HGL kapata 2 ya 12 kaomba chuo kakosa tumeamua kubahatisha kwa vyuo hivi je ni vizuri? 1)Muccobs 2) stephano memorial 3) Cdti tengeru arusha.. Na kozi ipi nzuri Kati ya hizi _ Bachelor of human resources management _Bachelor of community economic development _Bchelor of Arts...
  4. Shy land

    Mtoto wangu kazaliwa na kilo 6 na tatizo la mdomo sungura

    Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura. Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo la kuweza moja...
  5. Mom sheena

    Naomba kuifahamu Dawa ya mapunye kwa mtoto

    Habari zenu jamani naombeni mnisaidie dawa ya mapunye, mtoto wangu katokewa na punye mkononi. Ana miaka 4 na miezi 7
  6. Analyse

    Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

    1st Portion: Na hii sio utani, sijivunii mama wa mtoto wangu. Sio kwamba nililazimishwa kuwa nae, hapana. Na katika kipindi chote nipo nae kwenye mahusiano nilikua muda mwingi anatawala mawazo yangu, na hata kuachana kwetu, ni yeye ndio aliniambia muda umefika nikatafute mtoto mwenzangu wa...
  7. M

    Mtoto wangu anasumbuliwa na majipu kichwani

    Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman...
  8. laolao

    Mpenzi wangu haoneshi kumpenda Mtoto wangu

    Nimebahatika kuwa na mtoto na mwanamke niliyekua naye awali lakini hatukuweza kuendelea na mahusiano yale. Mtoto anasoma madarasa ya chini na nmemchukua kukaa naye na kwa sasa nina mwanamke tuna mwaka mmoja pamoja na ambaye tuna matarajio ya kusogea hatua za mbali ikiwemo kufunga ndoa...
  9. rakeyescarl

    Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
  10. Bam1

    MSaada: Mtoto wangu anapata joto kali

    Habari Doctors naomba msaada wenu, Mtoto wangu anaumwa siku ya sita mpaka sasa lakini anachoumwa ni joto kali la mwili hospital 🏥 wakipima anakuwa na 38.8 za joto na vipimo vyote wamepima Hana tatizo lolote. Lakini mama yake ana mimba ya miezi nane sasa watu wananiambia wenda ikawa joto la...
  11. sky soldier

    Baada ya kuacha kumlea mwanangu kimayai, nimeona akiimarika

    Bado sijutii uamuzi niliofanya, Hapo awali mtoto nilikuwa namlea kimayai huku nikijipa moyo sitaki apitie shida nilizopitia kumbe nilikuwa navuka mipaka kabisa ambayo haikuwa vema kwa mtoto, Nikabadili malezi na kweli dhana yangu ya kutotaka mtoto asipate shida nilizopitia nliendelea nayo ila...
  12. Napoleone

    Mtoto wangu wa kike atapata tabu sana

    Yaan Heb ngoja kwanza. Niseme kwamba mimi bado nakula ujana.. sina hata mtoto wa kusingiziwa.. natarajia nifanye maamuzi ya kuwa na mtoto kuanzia mwakani labda... Haijalishi wa kiume au wa kike. Ila sasa, kwa niliyoyashuhudia leo wakati wa mchana nilitoka mara moja nikaelekea mahala fulani...
Back
Top Bottom