Mkazi wa Tabata Kinyerezi, Dar es Salaam, Flora Mariki (34) anadaiwa kuuliwa na mtoto wa shemeji yake, binti mwenye umri wa miaka 22 baada ya kutokea ugomvi baina yao.
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilala, Janet Magomi amesema tukio hilo lilitokea Jumapili Mei 30, 2021 na mtuhumiwa huyo (ambaye...