Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
Yunus Nassoro Alli, 32yrs, Mshirazi wa Kilimahewa ambaye anatuhumiwa kujifanya mtumishi wa serikali "TISS".
Anadaiwa kukamatwa na kupatikana na vitu vifuatavyo;
1) Plate number nyekundu 112
2) Plate number za njano 27
3) Plate number nyekundu 12
4) Plate number za nje ya nchi 2
5) Plate...
Lipo tatizo kubwa la rushwa Kila sekta.
Kisingizio kikubwa Watumishi wa umma ni mishahara midogo. Nakishauri Mhe. Rais weka kifungu cha sheria kinachomwajibisha mpokea Rushwa akiwa mtumishi wa Umma na pale anapofukizwa kazi pengo lake lizibweKwkwa haraka arudi uraiani akaishi bila mshahara...
Viongozi naombeni kujua utaratibu wa kupatia pole(rambirambi) na mwajiri(serikali) baada ya kufiwa na mzazi. Na kama upo huwa ni shilingi ngapi? Documents zipi zinahitajika ili mtumishi aweze kulipwa?
Naombeni msaada viongozi.
Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye...
Kwanza niwapongeze kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Nipende tu kuwakumbusha ya kuwa Nchi yetu sasa inaanza kukomaa na kuwa pevu. Nasema hivyo kwa sababu miaka yote tumekuwa tukishuhudia wastaafu ambao walikuwa wamezaliwa kipindi cha ukoloni. Yaani kabla ya uhuru wa Tanganyika.
Lakini sasa...
Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine?
Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama.
Msaada kwenye tuta.
Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo.
Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa...
Nafahamu kuwa ili Mtumisshi awez2 kihama kituo chake Cha kazi no sharti awe amekaa.k2a.mida usiopunguaa miaka 3,vinginevyo mwajiri ndiye amhamishe!
Je Standing Order inasemaje iwapo Mtumishi ana matatizo ya kifamilia ambayo no Genuine mfano ...kuumwa,kuuguliwa nk !
Nilienda ofisi Moja ya umma kwaajili ya kupata huduma flani. Sikuridhishwa na huduma, niliona dalili zote kwamba muhudumu hayuko serious. Nikajaribu kuongea naye kwa upole lakini hakuonyesha dalili ya kuvaa uhusika wa mtoa huduma hiyo.
Sasa kwa kuwa issue ilikuwa urgent na sioni ushirikiano wa...
Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam.
Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
Ni katika kuadhimisha miaka 20 ya shirika la Haki Elimu.
Ameshauri watumishi wa serikali waachane na kasumba ya kuamini kwamba kuwa kwao katika utumishi serikalini basi ni wao tu wenye akili kuliko wananchi wa kawaida.
Martha Qoro (PhD) ameshauri juu ya kuongeza wigo wa kujifunza lugha...
Poleni na majukumu ya kazi
Samahani naomba kuuliza: Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi mwenye ASTASHAHADA tu natamani kujiendeleza angalau kufikia SHAHADA
Sasa najiuliza je, baada ya kujiendeleza nitabadilishiwa kiwango Cha MSHAHARA? Au inakuaje? Naomba mwenye uelewa wa kina na haya Mambo...
Wakuu Heshima kwenu, na pia habari za weekend!
Naomba kuuliza, kulingana na taratibu na sheria za nchi hii za Utumishi wa Umma; Je mtumishi wa Umma anaruhusiwa kugombea nafasi ndani ya Chama chake kwa ngazi MKOA ( Mwenyekiti wa Chama mkoa ) angali ni mtumishi wa Umma?
Kama anaruhusiwa, je...
Bandugu salama?
Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka.
Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31.
Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata).
2013 nikaenda Shule na kupata...
"Wengine kwa kujua au kutojua mnaingia mtego wa kupiga propaganda za kiCCM eti “mkosoe kwa staha” really!. Samia Suluhu ni mtumishi wa umma siyo malkia! Mamlaka yote aliyo nayo ni kutokana na SISI wananchi! So tukimhoji, kumkosoa azingatie substance not the style"-Maria Sarungi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.