mtupu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  2. Ukweli mtupu usiopingika kuhusu maisha

    Katika maisha ya leo ukijionea huruma, utakuja kutia huruma. Ukikosa nidhamu, utakuwa kuadabishwa na walimwengu Ukijidanganya utakutana na ukweli muda ukiwa umepita. Tujifunze na kutia maanani yafuatayo: 1.Thamani yako ndo inaamua mkate unaoingiza. Ikiwa chini, lazima ipande kubadili matokeo...
  3. Foleni za Huduma NMB ni ujinga mtupu

    Yaani kila Bank ya NMB Tanzania unayoingia kuna foleni kubwa na Wahudumu wame-relax Tu hapa. Leo Niko hapa Mlandizi NMB, nimesimama queue zaidi ya dakika 56 sijapata Huduma bado. Kuna Binti WA kichina kacharuka hapa ndio kapewa Huduma. Juzi nilikua Tanga, foleni kubwa mhudumu mmoja, Jana...
  4. Sherehe ya miaka 30 ya CWT ni utata mtupu!. Je, ni kweli Rais Samia atahudhuria huku Maganga akihutubia?

    Nahisi kama Mungu ameingilia kati ili kuwanusuru walimu na hii dhahama. Uku taarifa zisizoaminika mama ndio mgeni rasmi. Taarifa zingine CCM mwanza imewanyima uwanja. Huku sisi mtaani tukilalamika cwt wanavyotupiga 2% bila kazi ya msingi.
  5. S

    Tahadhari ya Tsunami kwa mikoa ya Pwani ni ubabaishaji mtupu

    Mamlaka kutoa taarifa za kutisha na kudai kuna uhakika wa kutokea kwa maafa, hivyo kuwataka wananchi kuondoka kwenye makazi yao ni jambo serious sana na halipaswi kutolewa pasipo kujiridhisha. Ofisi ya waziri mkuu imetoa tahadhari kwa wakazi wa mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi...
  6. P

    Ukweli mtupu kuhusu Mafanikio

    Nimekuja na hii mada sababu nilikuwa najiuliza kwa nini wenye pesa siku zote huwa zinaongezeka zaidi ya wale ambao hawana na unakuta kila mtu anafanya kazi kwa bidii? Nikawaza labda kuna baadhi ya vitu tukiachaa itasaidia. Punguza Huruma Kuna baadhi ya watu huruma ndo zinazidi kukufanya...
  7. Kinachoendelea GAZA idadi ya vifo vinavyoorodheshwa ni uongo mtupu!

    Nakumbuka miaka 3 nyuma dunia ilishuhudia (COVID) HOMDA ambayo ilitaka dunia kujifungia kwa lengo la kuharibu uchumi wake "planned stories" siwezi kukataa hundred percent kwamba ugonjwa haukuwepo na haujaua!laa hasha ila its determined effects was totally wrongly. Imagine Ugonjwa huu uliuwa...
  8. Traffic Kanda Maalumu Dar es Salaam mlichowafanyia bodaboda leo ni uhuni mtupu

    Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani, Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana Kagongwa na mwendokasi. Hivyo mmepata maagizo kutoka juu muwashugulikie. Nyinyi askari mnachangia...
  9. D

    Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

    Siyo kwa ubaya lakini! Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele! Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa! Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga! Wanaoonekana wamefanikiwa...
  10. Kuna ukweli gani juu ya wapiganaji kuaminishwa risasi kugeuka maji kwenye Vita ya Majimaji?

    Hii ni hekaya ambayo hai ingii akilini, eti watu walidanganywa risasi zitageuka maji na wakaingia mkenge, huu ni uongo, hivi mnajua mlio wa bunduki nyie? Mimi nadhani majimaji ilikuwa ni mgomo ulio ambatana na vurugu, na baadaye wajerumani wakawatembezea kichapo wahusika, basi. Hizo habari...
  11. S

    DOKEZO Afisa Biashara wa Manispaa ya Temeke, Giyola Chang’a ni mla rushwa

    Idara ya biashara ni changamoto ikiongozwa na huyu afisa biashara Giyola Chang’a. Hakuna Kinachoshindikana ndani ya idara biashara kama una hela mkononi. UKiwa hauna tax clearance, adi kubaki(Fire kibali) au kibali chochote kile uwe na hela tu huyu mama anapitisha. Unyanyasaji mkubwa Kwa...
  12. Elibariki Kingu ni mtupu kichwani, hana kitu!

    Member type: Constituent Member Constituent : Sing in the West Political Party : CCM Phone : +255786570111 P.O Box : Email address: e.kingu@bunge.go.tz Date of Birth : 1979-08-05 The history of education: School Name/Location Course/Degree/Award From To Level The University of Macedonia...
  13. Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

    Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine. Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba...
  14. Hii Trending ya kujifanya Mcha-Mungu wakati wa Ramadhani ni kujilisha upepo na ubatili mtupu

    Nipo Sehemu za Uswahilini naona wanawake na wahuni wote wanavaa vizuri wanapiga ushungi Kama wa Madam president so niseme ni Jambo zuri Sana endapo mkaishia hivyo Maisha yenu yote. Imekuwa kawaida watu kumuigizia Mungu wakati wa Ramadhani na baada ya huu Mwezi kuisha watu wanarudi katika uchafu...
  15. S

    Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

    Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao. 'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa...
  16. Kitendo Cha kutubatiza jina la wanyonge hapo ndio niliona kuwa siasa ni upuuzi mtupu

    Watu wenye Akili tunajua kuwa siasa za Tanzania ni ubabaishaji mtupu. Miaka 60 hamna Jambo la maana mmefanya zaidi ya wizi wa rasilimali zetu. Kila siku mnabatiza watu majina mara wanyonge bla blah kibao tu. Wanasiasa watanzania ni wezi mmeshikilia sectors muhimu nyie na Familia zenu, ni mtu...
  17. UAE SWAT challenge, mbona Majeshi yetu hayashiriki?

    Haya ninmashindano ya umahiri katika uokoaji, yanahusika MAJESHI mbalimbali na tactical units. .wenzetu Kenya kwa mwaka huu wamepeleka vikosi vitatu, nchi zingine zilizopeleka MAJESHI Yao ni Rwanda, South Africa .nk. Nashauri MAJESHI YETU yawe yanashiriki pia Ili kujipima uwezo wao...
  18. Mwanaume mzima unaishi Nyumba ya kupanga?

    Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za...
  19. Domain kwa AFUTATU goddady ni uongo bwana!

    Wale wrote mliopata domain name kwa TSH.3000 naomba maelekezo, Balenciaga Jr ulipataje hiyo domain kwa afutatu/NNE
  20. Putin: Ziara ya “KIBIBI” Pelosi huko Taiwan ni upuuzi mtupu

    Kuwa na Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi kuzuru Taiwan ilikuwa uchochezi unaolenga China, ambayo kisiwa hicho ni mali yake, Rais wa Urusi Vladimir Putin alisema Alhamisi katika mkutano wa Klabu ya Majadiliano ya Valdai huko Moscow. "Taiwan ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Uchina, na ziara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…