Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa.......
1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma
2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu
3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa
4. Ukiwa Muhuni...
Mwonekano wa maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV Mwanza: Hapa Kazi Tu mkoani Mwanza.
Ujenzi wake unagharimu TZS bilioni 89 (fedha za ndani), itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, na itakuwa meli kubwa zaidi katika Ukanda wa Maziwa Makuu.
📸 @MSCLtz https://t.co/trZ3JdWbLR
Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini ni lazima waondoke ili nia njema ya serikali ya kuilinda na kuhifadhi ngorongoro yafanikiwe...
Runway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi.
Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza.
Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa...
Naona comments everywhere watu wanalalamika kwanini Rihanna hajaiona Tanzania kuleta vipodozi vyake vya Fenty, wengine wanasema kwanini ameiacha Tanzania wakati Babaake alikutana Rais Samia kwenye Royal Tour.
Mnataka awaletee Tanzania kuna soko? Jiulize we unayelalamika ushawahi kuagiza hata...
Wanabodi,
Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni.
Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika.
Mimi Paskali Mayalla, japo ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia nilisomea sheria...
Siku kadhaa nyuma tuliona viongozi wakichomwa chanjo hadharani.
Hivi karibuni nilimpeleka mtu kuchomwa chanjo baada ya kampuni anakofanya kazi kuamuru hivyo. Zoezi lilikuwa likifanyika hadharani na kila mtu akichomwa kwa zamu.
Jamaa yangu alilipa pesa na zamu yake ilipofika nesi hakumchoma...
Habari wanajamvi?
Mimi niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu.
Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa...
Ujumbe wa DC Njombe kissagwakisakasongwa kuhusu VanillaNjombe
📍Serikali bado inafanyia kazi maswali mengi yaliyopo katika jamii kutokana na matangazo kwamba Vanilla inalipa na bei ya manunuzi ya Vanilla kwa kilo zinazotajwa kuwa ni kubwa sana. Naomba wananchi tuwe watulivu wakati Serikali...
Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni.
Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye matangazo sijui wanashindwaje ku balance muda, ikifika half time uchambuzi ni hovyo kabisa ukitoa Jesse...
Nilibahatika kuitwa kwenye usaili wa kazi, kielimu nimehitimu mafunzo ya Udaktari mwaka 2018, na endapo ningefaulu usaili ule basi ningekuwa mkuu wa kitengo cha afya kwenye taasisi hiyo. Nilifanya maandalizi ya kutosha. Katika maswali niliyoulizwa nijieleze lilikuwa, “how well are you connected...
Habari wanajamvi, nimewaletea mada hii kuhusu baadhi ya movie za ulaya na asia.
Kuna hii movie inaitwa soz, nijikite wakati wale wapelelezi wawili wanamfatilia profesa. Walibain kuna mtu anamwinda professa pia wakaamua wamkamate ila cha ajabu wakati mpelelezi mmoja anapigana na huyu jamaa...
Nimejaza online loss report nimelipia, nimekaa zaidi ya masaa 24 report not approved.
Mwaka jana nilijaza loss report ya vitu 4 nilipata report 2 instantly, vitu 2 vingine nilikaa wiki sijapata loss report. Sijaangalia kama walitoa au la. Imagine unakaa wiki moja bado panasoma not yet approved...
Lucia Michael maarufu Mama Kulwa, mkazi wa Majengo Manispaa ya Shinyanga, amekutwa ameuwa na watu wasiojulikana, na mwili wake kutupwa nyuma ya Msikiti wa Majengo.
Picha: Polisi wakichukua mwili wa Marehemu
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo aligundulika na majirani majira ya...
Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute wala Sandakalawe, afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!
Zijue faida 11 za kulala uchi au mtupu nyakati za Usiku
UMEZOEA kulala na nguo nyepesi za kulalia? Au unahisi vizuri zaidi ukilala na nguo nzito laini za kulalia? Watu wengi hujifunika mashuka na wengine hujifunika mablenketi kabisa.Katika makala haya, utakufumbuliwa macho uanze kulala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.