mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    Bandari ya Mtwara imepokea meli iliyobeba viuatilifu maarufu kama salpha tani 9,202

    Bandari ya Mtwara mkoani Mtwara, imepokea meli ya kwanza kati ya nne ambazo zinatarajiwa kuleta viuatilifu kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa zao la korosho nchini, kwa msimu wa mwaka 2025/2026. Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa Bandari Ferdinand Nyath, amesema meli hiyo imewasili...
  2. N

    Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

    Habari ndugu zangu. Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu. 1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo; 2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33; 3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
  3. boy lanugo

    Utaratibu wa kuwahamisha watumishi wa umma idara ya afya halmashauri ya mji Masasi mtwara kuwapeleka Sekta Binafsi uangaliwe upyaa

    Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo nani ananyfaidi? Serikali inafaidikaje na hawa watumishi waliopo vituo hivi? Unamtoa Mfamasia...
  4. The Watchman

    Mtwara kutenga bilioni 2.9 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10% 2025/2026

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala ametoa wito kwa viongozi kuhakikisha wanawasaidia vikundi mbalimbali ili wajue namna bora ya kutimiza vigezo vya kupata mkopo wa aslimia 10 unaotolewa na halmshauri. Sawala ametoa rai hiyo wakati wa kikao maalum cha kamati ya ushauri ya Mkoa (RCC)...
  5. upupu255

    Wazazi na Walezi Mtwara wajitolea kuchimba Msingi kwa Ujenzi wa uzio Shule ya Sekondari Chuno

    Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka shuleni kiholela. Kukamilika kwa uzio katika shule hiyo ya Sekondari Chuno kutasaidia wanafunzi...
  6. The Watchman

    PPRA yazindua ofisi za Kanda ya Kusini mkoani Mtwara uzinduzi ukiambatana na semina kwa waandishi wa habari

    Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma nchini PPRA, imefungua ofisi za Kanda ya kusini zitakazokuwa katika mkoa wa Mtwara, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdlah Mwaipaya ameongoza zoezi Hilo. Ufunguzi huo wa ofisi za Kanda uliofanyika ijumaa Tarehe 28 Februari 2025, ulienda sambamba na semina...
  7. T

    Pre GE2025 Nanauka Foundation yakabidhi kadi za bima ya afya kwa wazee 204, Mtwara

    Taasisi ya Joel Nanauka Foundation, chini ya Muasisi wake Dkt. Joel Arthur Nanauka, imeendesha zoezi la ugawaji wa kadi za Bima ya Afya kwa Wazee 204 katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani. Zoezi hilo limefanyika katika Kata ya Chuno, Mtaa wa Ligula B, likihudhuriwa na Wazee kutoka...
  8. Waufukweni

    Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond mtwara mwaka 2018 na kuuita 'Masjid Naseeb'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
  9. The Watchman

    Mtwara: Wanafunzi 74 wa shule mpya ya sekondari walazimika kuanza masomo bila sare ili kuendana na ratiba

    Uongozi wa shule ya sekondari ya Kiyanga halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, umelazimika kuanza masomo na wanafunzi 74 wa kidato cha kwanza wasiokuwa na sare, ili kuendana na ratiba za masomo. Mkuu wa shule hiyo Vagrey Kidava, amesema shule yao ni mpya na imefunguliwa Februari 10, 2025...
  10. Maalim Raphael

    Kwanini Hospitali ya St. Benedict, Ndanda, Mtwara huuliza wateja dini zao?

    Salaam wanajamvi! Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni. Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa...
  11. Ojuolegbha

    Uwekezaji wa Bilioni 73 uwanja wa ndege wa mtwara umewezesha uwezo wa kiwanja hicho kufanya kazi saa 24

    Uwekezaji wa Bilioni 73 uwanja wa ndege wa mtwara umewezesha uwezo wa kiwanja hicho kufanya kazi saa 24 Uboreshaji na upanuzi wa kiwanja; Kwa kujenga njia ya kurukia ndege yenye urefu wa mita 2800 na upana wa mita 45 kwa kiwango cha lami. Pia ujenzi wa eneo la maegesho ya ndege, barabara ya...
  12. Stroke

    Naomba kushukuru, watu wa Mtwara

    Mwaka jana nilikuwa Masasi mtwara. Wale jamaa ni wakarimu ila watata mno. Imagine jamaa wanakuomba kukushukuru. Utasikia " NAOMBA KUSHUKULU."
  13. Jamii Opportunities

    3 Technical staff at Mtwara Halotel

    JOB DETAILS: Description 1) Ensure the site management safety and working normally Setup lock for fence, machine room, tank fuel and generator. Clean the site: inside machine room, fan, the face of equipment. Check all alarm at site: • Cooperate with NOC to test external alarm 1 Ɵme / month...
  14. The Watchman

    Air Tanzania yaanza rasmi safari zake Mtwara - Dar

    Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua huduma za usafiri wa ndege za shirika hilo mkoani Mtwara ambapo ndege hizo zitakuwa zikifanya safari za Dar es Salaam-Mtwara mara tatu kwa wiki. Akizungumza Februari 17, 2025 wakati wa uzinduzi wa safari za ndege hiyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  15. Mkalukungone mwamba

    Maporomoko ya Udongo yafunga Barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam kwa Saa Tano

    Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Mtwara, zimesabisha maporomoko ya udogo, kufunga barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, katika eneo la Mikindani kwa zaidi ya saa tano na hivyo kuleta usumbufu kwa abiria na madereva. Soma Pia: Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata...
  16. C

    KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

    Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote. Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na mbaya zaidi ni tatizo la kudumu
  17. Kangosha

    KERO TANESCO mbona mnakata sana umeme Mtwara?

    Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara. TANESCO mnaturudisha sana nyuma sisi ambao ni wajasiriamali tunaotegemea Umeme kujipatia riziki. Kwa siku umeme unaweza kukatika...
  18. wanchijiko

    Mgodi wa dhahabu unatafuta muwekezaji au mnunuzi mkoa wa Mtwara

    RIPOTI FUPI YA UHITAJI WA UWEKEZAJI AU MNUNUZI WA MGODI WA DHAHABU Historia: mgodi una leseni PMLs na ziko tatu zilizo ungana pamoja Mgodi ulianza rasmi shughuli za uchimbaji mwaka 2019. Ni mgodi mpya ambao bado haujafikia uchimbaji wa kina, kwani uchimbaji upo kwenye miamba laini karibu na...
  19. Mparee2

    Generator ya TANESCO Mtwara kwani ile Diesel wanayotumia ni ghali

    Nafikiri ipo haja ya kuwaunga kwenye grid kama bado, kwani ile Diesel wanayotumia ni ghali sana ukilinganisha na gharama za umeme wa maji. Katika kipindi cha mahojiano Radio one jioni hii; Naibu waziri mkuu alituambia kuwa Generator inayotumika kuzalisha umeme ukanda huo inatumia lita za...
  20. Tajiri wa kusini

    Ugomvi wa nyama ya kenge wasababisha mauaji mkoani Mtwara

    UGOMVI WA NYAMA YA KENGE WASABABISHA MAUAJI MASASI MTWARA Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limefanikiwa kuzuiya na kutanzua uhalifu kupitia operesheni na misako iliyoendeshwa kati ya tarehe 1 Desemba 2024 hadi 31 Desemba 2024. Katika operesheni hiyo, walikamata wahalifu wakiwemo watuhumiwa wa...
Back
Top Bottom