mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. Rozela

    Hivi kuna mkoa wenye Madubwasha Makubwa kama Mbeya na Mtwara?

    Nimezunguka hii nchi ila hiyo mikoa imenitetemesha. Mbeya wanayo ya asili, Mtwara wanayatengeneza mtoto anapo zaliwa, yanakuwa yanabinuka juu juu, malainii viuno wanavirekebisha na shanga, pia yanakuwa yamoto kama jiko la mkaa. Nadhani kuna uzi unaofundisha jinsi wanavyofanya.
  2. N

    DOKEZO Wakulima wa Korosho wa Mkunya Wilaya ya Newala hatujalipwa zaidi ya miezi miwili, wengine wamelipwa pungufu ya makubaliano

    Sisi Wakulima wa Korosho tuliopo Mkunya Wilayani Newala Mkoani Mtwara tulipimishwa korosho tangu Oktoba na wengine Novemba 2024, hapo nikiwa namaanisha wale maafisa wa Serikali walikamilisha taratibu zote za manunuzi wakaondoka na mzigo kwa ahadi kuwa tutalipwa muda sio mrefu. Kwa kawaida hela...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Zoezi la kujiandikisha daftari la Mpiga Kura Mtwara kuanza Februari 27, 2025

    Mabalozi wa CCM wilaya ya Mtwara Mjini wametakiwa kuhamasisha wananchi, hasa vijana, mama lishe, na wanachama wasiokuwa na vitambulisho vya mpiga kura, kushiriki kwenye zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura linalotarajiwa kufanyika Februari 27, 2025. Soma, Pia: Afisa...
  4. R

    Msanii "Pasha" kwa sasa yuko wapi?

    Hello.. Nilikua kwenye pitapita zangu nikakuta sehemu zinapigwa ngoma za zamani za bongo fleva.. Ghafla ikapigwa ngoma ya namuimbia ya Pasha aiseeh ilinisafirisha mbali sana kihisia huyu mwamba yuko wapi kwa sasa?.. Alikua amekamilika kuanzia vocal mpaka uandishi.. Kwenye hii ngoma ilipigwa biti...
  5. F

    Nimepangiwa kikazi Masasi. Mazingira ya huko yapoje?

    Habari zenu wanazengo Samahani nimepangiwa kikazi. Masasi Mazingira ya Masasi yapoje mwenyeji anijuze na ipo sehemu gani na mabasi ya kuja huko. Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na sehemu ya kaz? Bei za vyumba zimekaaje? Unalipa.miezi mitatu au sita? Nitatakiwa kupitia kwa dalali ama...
  6. Roving Journalist

    TANESCO yaomba radhi umeme kukatika mara kwa mara Lindi na Mtwara, yasema kuna kazi ya kufunga Mifumo Mipya

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Wilayani Masasi Mkoani Lindi, kusoma zaidi bofya hapa ~ Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo , Shirika la Umeme Tanzania...
  7. Waufukweni

    LGE2024 Mtwara: Nyange awataka viongozi kuweka tofauti za kisiasa pembeni

    Wenyeviti na wajumbe wote wa serikali za mitaa wametakiwa kuweka tofauti zao za kisiasa pembeni na badala yake wahamasishe na kuelimisha umma kushiriki katika shughuli za maendeleo. Akitoa rai hiyo leo mkoani Mtwara, Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, Mwalimu Hassan...
  8. A

    KERO Tatizo la umeme kukatika limekithiri mkoa wa Mtwara

    Hivi karibuni tatizo la kukatika kwa umeme mkoa wa Mtwara limekuwa kubwa na kero kwa wananchi. Mkoa wenye gas asilia na makaa ya mawe lakini tatizo la umeme limekithiri. Najiuliza wakazi wa Mtwara wameongezeka kiasi kwamba Tanesco wanazidiwa au tatizo nini. Umeme unaweza kukatika zaid ya...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Mtwara: UVCCM Kaskazini Pemba alala chini kuwaombea kura CCM Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhandisi Ali Suleiman Ali ameendelea kuchanja mbuga nyumba kwa nyumba mitaani...
  10. Mindyou

    LGE2024 Mizengo Pinda ajitokeza kwenye kampeni za CCM Mtwara. Ataka wagombea wasibweteke baada ya ushindi wa kishindo 2019

    Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
  11. Cute Wife

    Pre GE2025 RC Mtwara afanya ziara bandarini na vyama 15 vya siasa ili wakawaambie wanachama wao uwekezaji uliofanywa na serikali

    Wakuu, Mambo hayo, kwani matokeo si huwa yanajionesha tu? Kitu kikijitembeza ndio unatuambia hamna kitu hapo, ni garasa. ==== Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala leo Novemba 18,2024 anafanya ziara katika bandari ya Mtwara akiwa na Vyama 15 vya siasa. Akizungumza na waandishi wa...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Mtwara: Wagombea 350 waenguliwa kutona na sababu mbalimbali licha ya elimu kutolewa kwa makundi yote juu ya ujazaji wa fomu

    Wakuu, Kama vile imekuwa mashindano kuangalia wapi wataengua waombea wengi kuliko wenzao! ===== Jumla ya wagombea 350 wa nafasi mbali mbali za uogozi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji wameenguliwa kati ya 4,282 ya waliochukua fomu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara. Hayo yamebainishwa...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Naomba majibu ya maswali haya kuhusu gesi ya Mtwara

    1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara? 2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha? 3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi...
  14. LIKUD

    Mwanaume fanya unachofanya lakini hakikisha tarehe 28 Novemba unakuwa Mtwara mjini

    Usije sema hukujua. Siku hiyo akina Zai watakuwa kama wote. Halafu kama mtakodi gari kutoka Dar kwenda Mtwara hakikisheni mnakuwa na UMOJA, mwenzenu akipigwa gari zima mnakuwa MASOJA. N.B: palikuwaga panaitwa "MTWARAHA" Nyerere akaikata hiyo RA ili ibaki Mtwara maana alijua watanzania...
  15. F

    Baada ya kufika Mtwara nimetembelea Bandarini kuona shughuli mbalimbali zinazoendelea

    Baada ya kufika Mtwara nimetembelea Bandarini kuona shughuli mbalimbali zinazoendelea, kubwa zaidi ni kwa ajili ya usafirishaji wa Korosho ghafi kuelekea nchi za India, China na Ulaya jionee mwenyewe baadhi ya picha.
  16. Roving Journalist

    Judith Kapinga: Serikali inaunganisha Mtwara na Lindi kwa umeme wa gridi kutokea Songea kupitia Tunduru, Masasi -Mahumbika

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la...
  17. Cute Wife

    Meya Manispaa ya Mtwara ahimiza wananchi kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa kwa kuanzisha Ligi ya Kata Uchaguzi Ndile Cup

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa moto, kila mtu anajitafutia ka angle a kuonekana :BearLaugh: kazi kwenu wananchi! Wananchi mkoani Mtwara, wamehimizwa kujitokeza kupiga kura katika kuchagua viongozi ili kutekeleza haki yao ya msingi kuchagua na kugombea kama ni kiongozi. Hayo ameyasema Meya wa...
  18. Roving Journalist

    RC Kanali Patrick Sawala: Serikali imefikisha umeme katika Vijiji vyote 785 vya Mtwara

    Ni furaha na nderemo kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara mara baada ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kufanikiwa kufika umeme katika Vijiji vyote 785 katika Mkoa huo. Akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika Kijiji cha Makome A ambacho ndio kijiji cha mwisho kuunganishwa...
  19. Yoda

    Waziri Bashungwa: Barabara ya Mtwara hadi Dar es Salaam kujengwa upya

    Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia. Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
  20. F

    Kuhusu biashara ya chakula kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara

    Habari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar. Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara. Wenyeji wa Mtwara mlio na uzoefu na minada ya korosho naombeni ABC za minada hiyo tafadhali. Ninacho taka...
Back
Top Bottom