mtwara mjini

Masasi Town District Council is one of eight regional councils of the Mtwara Region in Tanzania. It is bordered to the north and south by the Masasi District, to the east by the Newala District and to the west by the Nanyumbu District. According to the 2012 census, the district has a total population of 102,969.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

    Habari ndugu zangu. Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu. 1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo; 2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33; 3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
  2. LIKUD

    Mwanaume fanya unachofanya lakini hakikisha tarehe 28 Novemba unakuwa Mtwara mjini

    Usije sema hukujua. Siku hiyo akina Zai watakuwa kama wote. Halafu kama mtakodi gari kutoka Dar kwenda Mtwara hakikisheni mnakuwa na UMOJA, mwenzenu akipigwa gari zima mnakuwa MASOJA. N.B: palikuwaga panaitwa "MTWARAHA" Nyerere akaikata hiyo RA ili ibaki Mtwara maana alijua watanzania...
  3. Matulanya Mputa

    Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  4. Clark boots

    Wapi nitapata hivi vitu Mjini Mtwara?

    Wakuu, nipo mjini Mtwara. Nahitaji nipate vitu vifuatavyo. Pete za ndoa Pete za uchumba Mkufu Hereni na brcelet Vyote hivyo viwe English Gold materials. Naomba kufahamishwa maduka gani niende nyie wenyeji wa Mtwara
Back
Top Bottom